Paulo Mushi

Paulo Mushi published 7 applications on Google Play, 43 people rated these apps with an average rating of 3.87!

Imani za Msingi by Paulo MushiImani za Msingi

Rated 4.31(13) — Paulo Mushi

Pata Kujifunza Imani za Msingi 28 za Kanisa la Wa Advenstista Wasabato kupitia Application hii. Tunaomba uwajulishe na wengine ili iweze kuwa mBARAKA kwa wengi .Ukiwa na swali usisite kuwasiliana nasi kwa kuacha comment yako hapo chini.

Free App
Pesa Mtandaoni by Paulo MushiPesa Mtandaoni

Rated 4.87(15) — Paulo Mushi

Kupitia App hii utajifunza ni vipi utaweza kupata pesa kupitia Mitandao ya Kijamii,Kama YouTube nk. Nikukumbushe humu tumeleezea ni namna gani utapata pesa katika Youtube Chanel yako au website yako kupitia matangazo ya wafanya biashara mbali mbali kama..

Free App
T.M.I SEC by Paulo MushiT.M.I SEC

Rated 5.00(2) — Paulo Mushi

Application Maalumu kwa AJILI YA T.M.I Jimbo la kusini Mashariki mwa Tanzania,kupitia Application Hii utaweza kujua kila kiendeleacho katika kila kituo kilichomo kwenye jimbo letu.

Free App
Visa Ndani ya Biblia by Paulo MushiVisa Ndani ya Biblia

Rated 3.75(4) — Paulo Mushi

Pata kujifunza visa mbali mbali vipatikanavyo ndani ya Biblia Takatifu.Visa hivi ni kwa ajili yako wewe mzazi ila sana sana kwa ajili ya mwanao,Unaweza kusomea mwanao visa hivi kila siku usiku kabla ya kulala au kumpa simu na kujifunza yeye mwenyewe.

Free App
Njia ya Bwana by Paulo MushiNjia ya Bwana

Rated 5.00(1) — Paulo Mushi

Pata huduma itakayo kuwezesha kukua kiroho kwani inakupatia masomo ya kiroho kama vile masomo maalumu ya Unabii ,masomo ya mahusiano pamoja na masomo mbali mbali ya afya sambamba na makala mbalimbali ya kizazi kipya.Kaa nami .Ndimi mjoli Fares Kasubi...

Free App
Programming Center by Paulo MushiProgramming Center

Rated 0.00(0) — Paulo Mushi

Through this application you will be able to learn how to develop website,android application.

Free App
Tusali Pamoja by Paulo MushiTusali Pamoja

Rated 4.13(8) — Paulo Mushi

Kupitia App hii Pata kujua mahali kanisa lilipo pindi uwapo sehem ya ugenini , lakini pia jifunze Imani za Misingi za Waadventista Wa Sabato .

Free App