Christopha M Mbinda

Christopha M Mbinda published 11 applications on Google Play, 47 people rated these apps with an average rating of 4.23!

Ajira Tanzania App by Christopha M MbindaAjira Tanzania App

Rated 3.83(6) — Christopha M Mbinda

Find Jobs in Tanzania Today! Stay connected to Tanzanian employers. Never miss a job!The AJIRA TANZANIA Job app for you. Download the app and get a free Jobs and Education notifications TODAY!!.We know that it is hard to find the perfect job, there are...

Free App
Hamad News by Christopha M MbindaHamad News

Rated 5.00(3) — Christopha M Mbinda

Hamad blog tumelenga kukufikia wewe msomaji wetu popote pale kwa kukupatia habari za haraka pindi zinapo tufikia, pakua app yetu ana ufurahie zaidi

Free App
JmartinMedia Blog by Christopha M MbindaJmartinMedia Blog

Rated 4.86(7) — Christopha M Mbinda

JMartin Media Blog Tumelenga kukuhabarisha na kukujuza kila kinachotufikia kila wasaa, pata habari za uhakika kutoka kwa waandishi mahiri waliobobea.

Free App
Kilimo na Ufugaji E.A by Christopha M MbindaKilimo na Ufugaji E.A

Rated 0.00(0) — Christopha M Mbinda

"Kilimo na Ufugaji E.A" ni Application ya Kwenye simu ya Mkononi Ambayo Inakupatia Fursa ya kuweza kupata elimu kuhusiana na masuala mazima ya kilimo na ufugaji, Ndani ya hiyo application utaweza kupata makala, masomo na habari mbalimbali kuhusiana na...

Free App
Nijuze Habari. by Christopha M MbindaNijuze Habari.

Rated 4.80(5) — Christopha M Mbinda

Kila siku, kila mara, kila wakati, Nijuze App inakuweka karibu na Ulimwengu kwa kukuhabarisha zaidi yaliyojiri, yanayojiri na yatakayojiri katika nyanja za soka hapa nchini na nje ya nchi.

Free App
Ufugaji Yakinifu by Christopha M MbindaUfugaji Yakinifu

Rated 4.25(8) — Christopha M Mbinda

Ufugaji yakinifu App Tumekuletea elimu ya ufugaji kiganjani mwako, sasa pakua app ya ufugaji yakinifu uweze kupata masomo mbalimbali yahusuyo ufugaji yanayotolewa na wataalamu wa mifugo walionbobea kwenye nyanja za ufugaji, Kupitia Ufugaji yakinifu app...

Free App
Daud Tech by Christopha M MbindaDaud Tech

Rated 5.00(3) — Christopha M Mbinda

Daud Tech team tumekuletea bonge la aplication inayokwenda kwa jina la "Daut Tech App" Ambayo itakuwa inakujuza masuala mbalimbai ambayo yanajiri kila siku katika masuala mazima ya kiteknolojia, ikiwemo tricks mbalimbali na habari mbalimbali. Usisahau...

Free App
Jicho Tz by Christopha M MbindaJicho Tz

Rated 5.00(5) — Christopha M Mbinda

Ili binadamu aweze kuona yanayajiri ulimwenguni anahitaji Macho, Jicho Tz Media tumelenga kukuhabarisha kwa habari kemkem zinazotokea ndani na nje ya Tanzania na vitongoji vyake, Pakua app ya jicho tz leo na uweze kufurahia habari kedekede kiganjani...

Free App
Jovaine Online App by Christopha M MbindaJovaine Online App

Rated 4.00(1) — Christopha M Mbinda

Jovaine Online Tumelenga kukuweka karibu na ulimwengu kwa kukuletea Mobile app ambayo utaweza kufurahia habari zetu za papo kwa papo, matukio mbalimbali, makala za kipekee kabisa kutoka kwa waandishi mashughuri kabisa.

Free App
Mchaina App by Christopha M MbindaMchaina App

Rated 4.83(6) — Christopha M Mbinda

Mchaina news tumelenga kukuhabarisha zaidi, pakua app yetu bureee kabisa ili ujipatie habari mpya pindi zitufikiapo

Free App
Sport Kitaa by Christopha M MbindaSport Kitaa

Rated 5.00(3) — Christopha M Mbinda

Sport Kitaa App ndiyo habari ya mjini, kila saa, kila wakati tunakusogezea habari za michezo zinazotokea ndani na nje ya nchi, Kuwa wa kwanza kupata habari za michezo kiganjani mwako kila wakati bureee kabisa.

Free App