NNE MOJA

NNE MOJA Free Game

Rated 5.00/5 (1) —  Free Android application by NDIFUUST MOBILE

Advertisements

About NNE MOJA

NNE MOJA ni game linalohusu watu mashuhuri hapa Tanzania.Kuna levels zaidi ya hamsini,kwa hiyo kuna mastaa zaidi ya hamsini.Kila level moja inawakilisha staa mmoja
anayewakilishwa na picha nne.gusa picha moja upate kumuona vizuri kisha andika jina lake,
Ukipatia utaendelea hatua nyingine...ukikosea utabaki hatua hiyo hiyo hadi utakapopatia.Wakati wa kucheza utapata coins kila unapopatia.Usipopatia unaweza kuomba msaada,kuondoa herufi au kuomba jibu kwa kutumia coins zako utakazokuwa
umeshapata.

How to Download / Install

Download and install NNE MOJA version 3.3.2dk on your Android device!
Downloaded 5+ times, content rating: Everyone
Android package: com.dunianileo.mastaawabongo, download NNE MOJA.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0.3+
For everyone
Android game

What are users saying about NNE MOJA

G70%
by G####:

Very good app to know Tanzania superstars.....keep ur up.


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
5.05
1 users

5

4

3

2

1