About Nyimbo za Kristo SDA
Soma au Kusikiliza Nyimbo za Injili au Nyimbo za Kristo kutoka kwenye Kitabu cha Nyimbo za Kristo SDA. Nyimbo za dini zote zinapatikana bila kuwa na intanet (Offline)
Sikiliza ala za tenzi zaidi ya 125 bila intaneti (Offline)
UNAWEZA
★ Kuongeza nyimbo za dini uzipendazo kwenye orodha ya nyimbo pendwa
★ Kutafuta maneno au neno lolote kwenye aya za kitabu cha Nyimbo za Kristo sabato
★ Kupanga orodha ya nyimbo kwa kufuata alfabeti
★ Kuongeza ukubwa wa maadishi
★ Kubadili aina ya fonti za aya za kitabu cha Nyimbo za Kristo
Download and install
Nyimbo za Kristo SDA version 1.2.2 on your
Android device!
Downloaded 10,000+ times, content rating: Everyone
Android package:
tz.co.wadau.nyimbozakristo, download Nyimbo za Kristo SDA.apk
by Z####:
Mungu awabarki watengenezaji maana nilikuwa mvivu wa kuimba nyumban xaxa naimba hadi wakati wakula nyimbo nimejua kuziimba kwa sauti zake mbarikiwe Amina