Hadithi za Biblia

Hadithi za Biblia Free App

Rated 4.24/5 (234) —  Free Android application by JOHNLI

About Hadithi za Biblia

Hadithi za Biblia kwa ajili ya watoto na watu wazima katika Kiswahili
(Bible Stories in Swahili)

HIKI ni kitabu cha hadithi za kweli. Zimetolewa katika Biblia kitabu kikubwa zaidi ulimwenguni. Hadithi hizo zinakupa historia ya ulimwengu kutoka Mungu alipoanza kuumba vitu mpaka leo. Zinasimulia hata yale ambayo Mungu anaahidi kufanya wakati ujao.

Hadithi hizo zimesimuliwa kwa Kiswahili rahisi. Wengi kati yenu ninyi watoto wataweza kujisomea wenyewe. Ninyi wazazi mtaona kwamba watoto wenu wachange watafurahi kusomewa hadithi hizo mara nyingi. Mtaona kitabu hiki kina mengi ya kupendeza watoto na wakubwa.

Maneno ya Biblia yamesimuliwa kifupi katika kitabu hiki. Yameandikwa kwa Kiswahili rahisi ili watoto wachanga waweze kuyafahamu. Mitajo iliyo mwishoni mwa kila hadithi imetokana na Biblia.

Bible stories for children and adults in Swahili
(Bible Stories in English)

THIS is a book of true stories. Presented in the Bible largest book in the world. The story gives the history of the world from God began to create things until today. Tell a that what God promised to do in the future.

Stories have been told for the simple Kiswahili. Many among you children will be able to read themselves. You parents will see that your children are happy wachange read the story many times. You will see this book has plenty of delightful children and adults.

Yamesimuliwa short Bible passages in this book. Written in Swahili easy to infants they can understand. Mentions at the end of each story is derived and the Bible.

How to Download / Install

Download and install Hadithi za Biblia version 1.0 on your Android device!
APK Size: 2.9 MB, downloaded 50,000+ times, content rating: Not rated
Android package: swahili.bible.stories.AOUXACXNAMDVIQXR, download Hadithi za Biblia.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
1.6+
n/a
Not
rated
Android app

App History & Updates

More downloads  Hadithi za Biblia reached 50 000 - 100 000 downloads
More downloads  Hadithi za Biblia reached 10 000 - 50 000 downloads
More downloads  Hadithi za Biblia reached 1 000 - 5 000 downloads

What are users saying about Hadithi za Biblia

S70%
by S####:

Mbarikiwe sana wote mlioshiriki kuandaa neno hili la mungu,,,asanteni sana na mungu awabariki

D70%
by D####:

Hakika Mbarikiwe kwa kulitangaza neno la Bwana Mungu

S70%
by S####:

Nimeipenda ni nzur inafundisha mambo mengi san.

Z70%
by Z####:

kiukwel inatubark sana hii app

S70%
by S####:

Bible lessons

S70%
by S####:

Mungu awabariki

W70%
by W####:

unabii mmeshindwa kuuelezea vizuri, jikite katika msingi wa Biblia inasemaje na siyo Dhehebu.

S70%
by S####:

Mungu ni mwema. Naomba mnao komenti jina la Mungu mlianze kwa herufi kubwa pia. Mbarikiwe

C70%
by C####:

Nzuri

S70%
by S####:

Really blessed.

S70%
by S####:

Very lovely time with God

S70%
by S####:

Real good ilike it

H70%
by H####:

Thanks

N70%
by N####:

Wakati tuko wadogo baba yetu alitununulia kitabu hidi,hadi leo kipo na watoto wangu wamekikuta na kinawasaidia kujua mengi kuhusu biblia.Asanteni sana waandaaji!!

S70%
by S####:

Hadithi nzuri sana

S70%
by S####:

Crist

D70%
by D####:

Poa

Z70%
by Z####:

God bless u

N70%
by N####:

real luv it make m feel comfrtble..

Z70%
by Z####:

Elias kanjale

N70%
by N####:

It works nicely.

N70%
by N####:

Nimeipenda, inazidi kunipambanua asante Mungu nauona ukuu wako katika neno.

N70%
by N####:

Mbarikiwe sana

Y70%
by Y####:

Namshukuru mwenyezi Mungu.

E70%
by E####:

It is sweat

M70%
by M####:

Ubarikiwe sana kwa application hii nzuri sana mungu awazidishie ktk utendaji wenu wa kazi hizi na awarahisishie magumu yote

N70%
by N####:

amazing app

N70%
by N####:

i loved it

N70%
by N####:

Loved it

N70%
by N####:

Wonderful

N70%
by N####:

I like it

N70%
by N####:

Safi saana

A70%
by A####:

Mungu aibariki sana kazi hii

S70%
by S####:

Goole is our friend keeps us together

D70%
by D####:

Great app

B70%
by B####:

Ni nzur

N70%
by N####:

Asantenteni sana

N70%
by N####:

amen

A70%
by A####:

God bless u

S70%
by S####:

Kl jambo jema huaza na mwangaza


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.25
234 users

5

4

3

2

1