About Smis App
App hii imetengenezwa mahususi kwa ajili ya wanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino Saut.
Kwa ajili ya kuwa rahisishia kuweza kuangalia Matokeo yao kwenye mtandao unao husika na matokeo yaani (SMIS)
Kupitia App mwanafunzi anaweza ku access kwa urahisi matokeo yake kwenye smis pamoja na mambo mengine kama vile malipo ya Hostel Ada pamoja na mambo mengine mengi ikiwemo
kupata ratiba za madarasani
kupata ratiba za mitihani
na mambo mengine mengi kupitia App hii