Rasimu II ya Katiba for Android
Anapenda kutoa pongez kwenu nyote mlio anzisha mtandao huu
Itanisaidia kujua ninakotoka ,nilipo na ninakokwenda.
warioba goodjob
Mko vizuri huu ndio uzalendo na upendo kwa wengine nao wapate kuijua katiba endeleeni Kazi nzuriiii
RASIMU SAFI
Thanks for this app
Msafiri Hakamula.
Napongeza kwa kuona jitihada za kuhakikisha watanzania wanapata kutoa mchango wao juu ya katiba waipendayo ila kuna sura moja imeingiliana kichwa cha habari kinaelezea ulinzi na usalama lakini ukifungua unaona mambo mengine kama kuna uwezekano mu upgrade version yenu mtuwekee hiyo ya ulinzi na usalama tuendelee kuchangia vinginevyo iko sawa
It works excellently in my phone
Iko poa sana aiseeee!!!! Big up kwa kutuletea Google play
Hii ndio rasimu iliyopaswa kupendekezwa na ikiwezekana kuwa katiba kwani inamlinda mwananchi,nchi na viongozi wanaotumikia taifa
hakuna kusema sijapata nakala......mambo yamekuwa mepesi kwa kila mtu....una smart phone.....basi una rasimu pia....hongereni mlofanya kaz hii
Zana nzuri sana. We use smartphone in a smart way. Good one
Nimeipenda.baada ya kukaa bar kufilisika Nakaa kuletewa nchi yangu
Anapenda kutoa pongez kwenu nyote mlio anzisha mtandao huu
Safi sana nawapongeza kwa kazi nzurii, tusikubali kukandamizwa na ccm.... Wana nchi tuwe na msimamo ✌✌✌✌✌✌✌✌✌
Tanzania tuna woga hamna katiba hapo wizi tu iweje utengeneze kitu alafu ukikosoe wewe huo ni wizi tu
Nzuri sana! Keep it up
Mmejtahd kwa kwl
Daaah mmejitaidi sana lakni wazee wa ccm ndio wanahariibu wana nchi tusikubali✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
Ni jambo zuri kutumia hii app
N NZURI SANA...
Really gr8 I lov the app
Hongereni kwa kazi nzuri
Download it, nice application .....Love Tz.
Thank u for this app is very nice and important well done.
Hili ni jambo la Manufaa kwa tulio wengi Kazi Nzuri
Hii ndio katiba ya wananchi
Ntakua mchoyo wa fadhira nisipo wapongeza hakika kazi kubwa mmefanya mnastahili pongezi. Ombi langu tofauti na katiba tunahitaji sharia zingine tena Unawaza kuziunganisha mfano CAP 1-20 mtatisha zaidi
Nimefurahishwa na juhudi hizi zakuwawezesha watanzania kufahamu khaki zao, ninaomba kama kuna uwezekano sheriff nyingine kama za ardhi nk zingewekwa kwa mfumo huu PONGEZI ZANGU .ZA DHATI KWA VIONGOZI MAHILI WA NCHI HII
Kwa kweli mnastahili pongezi ya hali ya juu sana. Napenda niwashauri wale woooote wenyekutumia smart phones ku - download Rasimu ya pili ili tuchangie mawazo yetu kumbuka wewe ndio chanzo cha kupatikana kwa katiba bora. Katiba bora kwa maendeleo ya Taifa letu Watanzania. Mungu ibariki Tanzania
Nyc app. Congrats Tz hop we gonna get a guwd constitution out of ds rasimu
Its cool
uwezo wa kuchangia na ku-share ndicho kimenifurahisha sana! Kazi nzuri!
Nzuri,mbona ilichelewa kuwekwa?
Ni rahisi kutumia na inaeleweka vizuri, haisumbui pia.
Huu ndio uzalendo
Ipo vzur kwel
S3mini
by Q####:
Nyc app. Congrats Tz hop we gonna get a guwd constitution out of ds rasimu