Qurani (Qur'an) in Swahili

Qurani (Qur'an) in Swahili Free App

Rated 4.33/5 (1,255) —  Free Android application by Quran books

About Qurani (Qur'an) in Swahili

Qurani (Qur'an) (Quran katika Kiswahili)

Qur'an (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama "Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad.

Lugha na tafsiri
Imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi ya miaka 1,400.
Kadiri ya Qurani (42:8), Mungu alimuambia Muhammad: "Na namna hivi tumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembeni mwake"
Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwenguni hawajui Kiarabu, maana halisi ya Qur'an hutolewa kwa lugha nyingine, hivyo kupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya Kiarabu kwenye Qur'an yana maana gani. Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajili ya Qur'an - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Quran tukufu na Waislam, ili kuwa badala ya Quran ya Kiarabu.
Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile siyo ya Qur'an tukufu na wala siyo ya kweli; ni kopi ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenye Qur'an ya kweli.

Waislamu wanaamini kwamba Qur'an tukufu mtume Muhammad alipewa na malaika Jibrīl kwenye pango la mlima Hira, kwa kipindi cha zaidi ya miaka ishirini na tatu hadi mauti wake ilipomfikia.
Qur'an tukufu haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wa mtume Muhammad; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu. Bimaana, watu walihifadhi kichwani.
Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibu wa Waislamu, swahaba wake Abu Bekr alikuwa akiandika maandiko yale juu ya kitu fulani wakati huo mtume Muhammad yu hai. Pale Abu Bekr alipokuja kuwa khalifa, ameileta Qur'an na kuwa kitabu kitakatifu.
Uthman, ambaye ni khalifa wa tatu, ameondoa vipengele ambavyo vilikuwa havihusiani na Qur'an tukufu.

Elementi, Sura, Mistari, Aya
Kuna sehemu 30 katika Qur'an, ambayo inafanya kuwa na sura 114. Kila sura ina namba tofauti ya mistari.
Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizi zimeshuka mjini Makka, sura 24 kati ya hizi zimeshuka mjini Madina.
Miongoni mwa sura zilizoshushwa mjini Medina ni pamoja na Al-Baqara, Al Imran, Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Ma'ida, An-Nisa, Al-Mumtahina, Az-Zalzala, Al-Hadid, Muhammad , Ar-Ra'd, Ar-Rahman, At-Talaq, Al-Bayyina, Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj, Al-Munafiqun, Al-Mujadila, Al-Hujraat, At-Tahrim, At-Taghabun, Al-Jumua, As-Saff, Al-Fath, At-Tawba, Al-Insan.

Mahusiano baina Qur'an na Biblia
Katika Qu'ran tukufu, inasomwa kwamba Wayahudi na Wakristo pia huamini Mungu wa kweli. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwa za Abrahamu kwa sababu ya mahusiano haya.
Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo ya watu wa katika Biblia. Kwa mfano watu wa katika Biblia waliotajwa kwenye Qu'ran ni pamoja na Adamu, Nuhu, Abraham, Lutu, Ismaili, Yakobo, Yosefu, Haruni, Musa, mfalme Daudi, Solomoni, Elisha, Yona, Yobu, Zakaria, Yohane Mbatizaji, Bikira Maria na Yesu.
Hata hivyo, kuna tofauti za muhimu kabisa baina ya Uislamu na toleo la Biblia katika kuelezea habari za aina moja. Kwa mfano, Qu'ran tukufu inaelezea kwamba Yesu Kristo si Mwana wa Mungu, kama jinsi Wakristo wanavyoamini; kwa Waislamu, alikuwa nabii tu, anayeheshimiwa kwa jina la Isa bin Mariamu.
Uislamu unafundisha kwamba haya yanatokea kwa sababu maandiko ya awali ya Biblia yamepotea na hivyo kuna baadhi ya watu wameyabadilisha. Lakini nje ya Qu'ran hakuna uthibitisho wa fundisho hilo. Qur'an (Qur'an) (Quran in Swahili)

Qur'an (Arabic: القرآن) is the holy book of Islam. Qur'an is expected by Muslims as the "Word of God (Allah)". This book is completely different to them and the writings of other religious books that can be trusted because it was written directly by God, through His last prophet, Muhammad.

Language and translation
Written and read in Arabic only for over 1,400 years.
According to the Qur'an (42:8), God said to Muhammad: "And thus We have revealed to you the Qur'an in Arabic to warn people of Makkah and those around him"
But, since today many Muslims around the world do not understand Arabic, the real meaning of the Qur'an is provided for other languages, thus leading readers to better understand Arabic words in the Qur'an mean. These books are like dictionaries for the Qur'an - do not read this as one part of the Qur'an and Muslims, so that instead of the Quran in Arabic.
Many Muslims believe that the interpretation of the Qur'an is not not true and it is a copy of the Quran Arabic only provided on the right.

Muslims believe that the Qur'an was given to Muhammad by the angel Gabriel in the cave of Mount Hira, for over twenty-three years until his death ilipomfikia.
The Qur'an was not a book of scripture during the life of the Prophet Muhammad, was placed in contact kimdomo only. Bimaana, people were storing on the head.
Messenger may not be able to read or write, but according to Islam, his companion Abu Bekr was writing the writing on something that time Muhammad was alive. When Abu Bekr that the caliph came, he brought the Qur'an to be sacred book.
Uthman, the third caliph who is, has removed features that were not specifically related to the Holy Qur'an.

Elements, Chapter, Verse, Verse
There are 30 places in the Qur'an, which makes it a frame 114. Each chapter has a different number of lines.
According to Islamic teaching, chapter 86 of these have declined in Mecca, chapter 24 of these have declined in Medina.
Among the chapters in Medina zilizoshushwa include Al-Baqara, Al Imran, Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Maida, An-Nisa, Al-Mumtahina, Az-Zalzala, Al-Hadid, Muhammad, Ar- Ra'd, Ar-Rahman, At-Talaq, Al-Bayyina, Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj, Al-Munafiqun, Al-Mujadila, Al-Hujraat, At-Tahrim, At- Taghabun, Al-Jumua, As-Saff, Al-Fath, At-repentance, Al-Insan.

Relations between the Qur'an and the Bible
In Glorious Qu'ran, is presented to that Jews and Christians also believe the true God. These religions as well as Islam are called to Abraham because of these relationships.
There are some pages that describe Qu'ran concerning the people of the Bible. For example in the Bible of people listed on the Qu'ran include Adam, Noah, Abraham, Lot, Ishmael, Jacob, Joseph, Aaron, Moses, King David, Solomon, Elisha, Jonah, Job, Zechariah, John the Baptist, the Virgin Mary and Jesus.
However, there are quite important differences between Islam and version of the Bible in describing the story of the same type. For example, the glorious Qu'ran explains that Jesus Christ is not the Son of God, just as Christians believe, for Muslims, he was just a prophet, who is honored in the name of Jesus the son of Mary.
Islam teaches that this is happening because the original texts of the Bible have been lost and so there are some people have changed. But out of the Qu'ran there is no proof of that doctrine.

How to Download / Install

Download and install Qurani (Qur'an) in Swahili version 1.0 on your Android device!
Downloaded 100,000+ times, content rating: Not rated
Android package: quran.books.qurani.AOUQKEWQPLQBOISUR, download Qurani (Qur'an) in Swahili.apk

All Application Badges

Good rating
Free
downl.
Android
1.6+
n/a
Not
rated
Android app

App History & Updates

More downloads  Qurani (Qur'an) in Swahili reached 100 000 - 500 000 downloads
More downloads  Qurani (Qur'an) in Swahili reached 50 000 - 100 000 downloads

What are users saying about Qurani (Qur'an) in Swahili

K70%
by K####:

Ila Tatizo Lake ni Moja tu ambalo Linahitaji Marekebisho! Tumia Neno "ALLAH" "الله" Badala Ya "Mwenyezi Mungu" ili Kumtukuza Zaidi Kwa Jina Hilo Tukufu Na Uachane Na Jina Hilo La Kijadi (Mwenyezi Mungu) Kwani Hata Wakristo Wanaye "Mwenyezi Mungu" Katika Biblia, Wayahudi, Wahindu, Wamajusi Wote Hao Wanatumia Jina "Mwenyezi Mungu" Katika Vitabu Vyao Lakini Wote Hao Hata Mmoja HATHUBUTU KUTUMIA JINA "ALLAH" katika Vitabu Vyao. Sasa Unaonaje Ukalitumia Wewe ili Nirate 5 Stars?

K70%
by K####:

Nice app. Allah akuzidishie Elimu Ni tafsiri ambayo kila mmoja anaweza kuisoma na kuielewa vizur

K70%
by K####:

kiukwel imekidhi kwa kias kikubwa sana mahtaj ya watumiaj wa kiswahili nsamini sote tutanufaika kupitia tafsiri. ALLAH atuongoze sote ktk kukisoma na kukizingatia kitabu hiki kitakatifu ili tupate uokovu mbele ya ALLAH

K70%
by K####:

Ni vizuri tukewekewa na ufafanuzi wa sura ili tuweze kufahamu kwa urahisi na tuweze kutoa mafunzo kwa wenzetu maana baadhi ya aya huhitajika ufafanuzi mkubwa maana ligha ya balagha hutumika ndani ya qurani

H70%
by H####:

Nashauri tafsir hii iwe na maelezo kama sababuna musaba wa kuteremshwa aya au sura, hadithi zinazoifasiri aya au sura. Kwa namnna hiyo itafahamika kuliko ilivyo sasa

N70%
by N####:

Huduma hii imekuwa ni simple.ninakushukuruni sana.

F70%
by F####:

Alhamdulilah tunajifunza mengi Inshaalahu Allah awazidishie wote walioweza kuandaa App hii. Alhamdulilah.

K70%
by K####:

Allah Kariim

K70%
by K####:

Amiin amiiin amiiin. Yalab la aalamiiii.. Swahili qul ann.. Inatuelimisha vyakutosha.. Kwani wengi tunasisoma.. Ila tafsili. Nitatizo.. Allahumma.. Jaaali hadha.. Kwawalio faanya kazi hii Allah kalim.. Ihsha Allah Allah atawakilimu

K70%
by K####:

Its good I like this

Z70%
by Z####:

Mashaa allah tabaraka allah, allah awape umri mrufu nyinyi wenye mwatutafsiria kur,ani, hata wasio juwa kusoma kiarabu tena watasoma.

Z70%
by Z####:

Nitafsiri nzuri na yenyekueleweka vizuri kwa tunaopenda kuijua dini yetu ya kiislam na kitabu chetu

D70%
by D####:

Jazaakumu llahu khaira naisia nafs yangu pamoja na za wenzangu kuisoma qu r an kwani hakika hii qur an ndio pozo Kwa mwenye kumuamini Allah subhaahu wataalla na ndio itakayo kuja juu ya kichwa cha ibni aadam akiwa bar zaq ikimtetea kwa Allah qur an ikimuambia usimuadhibu huyu alikuwa akinisoma Mara Kwa Mara Kwa hiyo tusiishie kuisoma tu qur an pia tudumisheni kusali sala tano kabla umauti hauja tufika yaa nafs tuubi fainnall mauti qad haana.

Z70%
by Z####:

Ni mwongozo kwa ulimwengu mzima hata kwa lugha yetu mam kinazid kutunufaisha

R70%
by R####:

Ni kitabu kitakatifu ni vema tukakitumia kwa malengo yaliyokusudiwa.

Z70%
by Z####:

Ila Tatizo Lake ni Moja tu ambalo Linahitaji Marekebisho! Tumia Neno "ALLAH" "الله" Badala Ya "Mwenyezi Mungu" ili Kumtukuza Zaidi Kwa Jina Hilo Tukufu Na Uachane Na Jina Hilo La Kijadi (Mwenyezi Mungu) Kwani Hata Wakristo Wanaye "Mwenyezi Mungu" Katika Biblia, Wayahudi, Wahindu, Wamajusi Wote Hao Wanatumia Jina "Mwenyezi Mungu" Katika Vitabu Vyao Lakini Wote Hao Hata Mmoja HATHUBUTU KUTUMIA JINA "ALLAH" katika Vitabu Vyao. Sasa Unaonaje Ukalitumia Wewe ili Nirate 5 Stars?

U70%
by U####:

Ni tafsiri nzuri sana, Utapata ELIMU kwa lugha unayoielewa. Mwenyezi MUNGU awalipe wema kwa kazi hii kubwa mliyoifanya. Ni dhahiri hata wenzetu wakristo watapata fursa ya kukisoma kitabu hiki na kupata elimu ya yale yaliyo ndani yake ili mrudi ukisome ukiwa na mtizamo chanya au neutral

Z70%
by Z####:

Ni nzur kwa wanaojifunza tafsiri kwa kiswahili na inatoa elimu pana kwa anaehitaji kuijua dini ya kiislam..!

Z70%
by Z####:

Uislamu unakuwa jukumu letu ni kusoma hakuna kinachoshindikana sasa quran imetafsiriwa kwa kiswahili,waswahili mashaallah tujitahidi kusoma.

Z70%
by Z####:

Hakika kila sifa njema anastahiki mwenyeezi mungu naye aendelee kuwazidishia ili tupate mambo mazuri kama haya

Z70%
by Z####:

Mim ni miongoni mwa watu waliopata faida kwani kupitia lugha ya kiarab nilikuwa sielew lakin sasa naelewa vizuri kabisa.thankx

Z70%
by Z####:

Kwa kila muislam inamfaa hasa kwa lugha yake y Kiawah ilia... MaashaaAllah.. Allah atuwezeshe kukisoma kila Waka.. Jazaakallah kheir

Z70%
by Z####:

naomba muifanikishe hii app katika kipengele cha ku~search ndani ya 10 seconds kama ktk Biblia app mlivyofanya.

Z70%
by Z####:

Nashukuru kwa kuzidi kutusogezea karibu kitabu kitakatifu iliiwe raisi kusoma muda wwt na mahala ppt. Allah awabariki.

Q70%
by Q####:

Inafaa sana kwa sisi tusiojua vizuri lugha ya kiarabu.Allah awazidishie kheri

K70%
by K####:

Very well translated. Be blessed all those who participated.

X70%
by X####:

Hlp spread Allah's message

K70%
by K####:

Nimeipenda.but vipi kuhusu suratul mariam 8 iko sahihi?

D70%
by D####:

MashaAllah, Alhamdulillah.

K70%
by K####:

Inasaidia Sana Kwa wasiojua tafsiri ya Qur an

T70%
by T####:

Hii ni nzuri kwa waumin wa kiislamu

K70%
by K####:

Bismillah! Ni kitabu kizuri kwa walioamini wote.

K70%
by K####:

Imaniyako ndio ufunguo wa pepo

Z70%
by Z####:

Kitabu kizuri sana Alhamdulillah. Hata kama hujasoma kitakusaidia uweze kuifahamu dini vyema.

J70%
by J####:

Tarjuma inaeleweka vizuri Allah awalipe jazaa njema inshaallah.

Z70%
by Z####:

Hakuna tena cha kusingizia ni kusoma kurani kokote pale ulipo

E70%
by E####:

For the people who do not understand in arabs it will be useful in swahili language

Z70%
by Z####:

Huo ndio uelekeo wa uchamungu kwa kufanya amali endelevu kama hizi

J70%
by J####:

I like this app. Allah bless all those who use it

K70%
by K####:

I have always wanted to understand Islam,but i don't understand Arabic,,naipenda sana


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.35
1,255 users

5

4

3

2

1