About Vunja Mbavu
Kiswahili:
Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu.
Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi.
Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho.
Aidha kuna:
Vichekesho
Vioja
Katuni
Makala
Simulizi
Siasa
Jamii
Picha
Video
English:
Vunja Mbavu is an application which allows users to search and read jokes written in Swahili language. We believe that laughing can have impact into happiness living and we believe that laughing is more than medication to stressed people.
Vunja Mbavu app has a collection of different jokes which can make anyone laugh and have fun. The good thing is; Vunja Mbavu is for everyone even family jokes because we regulate abusive languages and we believe anyone can laugh without hearing abusive words.
These jokes are in form of texts, cartoons, pictures, audio, animations and videos. This gives users a wide range to entertain themselves into different forms of multimedia elements.
Download and install
Vunja Mbavu version 4.0.9 on your
Android device!
Downloaded 10,000+ times, content rating: Not rated
Android package:
mobi.androapp.vunjambavu.c3522, download Vunja Mbavu.apk
by W####:
hakika kucheka ni dawaa