About Vichekesho App
Vichekesho App
App Hii imetengenezwa kwa lengo la kukufurahisha na kukuburudisha muda wowote na mahali popote kwani tumekukusanyia vituko na Vioja vya kila aina katika category za:-
Video za Vichekesho
Picha za vichekesho na
SMS za Vichekesho.
ZAIDI:
Unaweza kushare Videos, Picha na SMS.
PICHA:
Unaweza KuDOWNLOAD picha yeyote inayopatikana kwenye Vichekesho App na ukawanayo kwenye simu yako
Unaweza kuset picha yeyote kama Background image ya simu yako.
Unaweza kushare picha kwenye mtandao wowote kama Whatsapp, ft, twitter, intagram n.k
SMS
Katika Message za vituko vya kufurahisha,
Unaweza Kutuma SMS ya kichekesho chochote kwa Mpenzi, Rafiki, mshikaji au mtu yeyote ambaye utapenda kushare nae katika mfumo wa message za kawaida kabisaaa
VIDEO.
Vichekesho App inakupa uwezo wa Kuenjoy Video mbalimbali ikiwa na features kibao!.
Pia unaweza kushare video hizo bila ya kuwa na shida yeyote kabisa.
FAVOURITES
You may share these funny text, sms, Videos and images with friends through Whatsapp, facebook, instagram, etc
Be ready to get Daily Udates and free download service integrated in our app.
Download and install
Vichekesho App version 1.0 on your
Android device!
Downloaded 100+ times, content rating: Everyone
Android package:
com.vichekesho.app, download Vichekesho App.apk
by X####:
Good