Uhondo for Android
Mbona Kwasasa Unawatch Tu Bila Kudownload Sa Hapo Ndo Mnatuibia Pesa Zetu Yani Mtu Alipie Kwa Hela Yake Na Aangalie kwa MB's zake na Bado Movie Haipati Had Awe Na Mb Tena Aangalie Mtandaoni Huo Ni Uwizi Basi Tusingekua tunalipia Shilingi Mia Tano Zetu
Ni App nzuri kwa kuanza siyo mbaya, ni matarajio marekebisho yatafanywa kadiri itakavyokuwa ikitumika
Hivi hii sasa kudownload ndio haiwezekani alafu move ziko mbili tu vipi hapo eti nijuzeni leo ndio nimejiunga but move mbili tu wajameni kwa uzuri ni nzuri tu ila sasa kudownload haifai eti ?
nina mengi ya kuwashauri...pia ata kwenye movie ya KISOGO kuna mapungufu madogo yanayoweza kulekebishika
Tunataka tuweze kudownload sio kuangalia online tu
Nimelipia lakini haijafunguka movie sijaipenda
Nzuri sana
Atari sana
App nzuri
Joseph
Bad no update of entire series and too much cost
App mbovu sijaona...nimelipa na movie sipati... Can't play this movie thats how it says
You should update movies not only trailers
It should resume
need to prove
Great!
App ni nzuri sana ila ningeomba kuweka basi na option za debit cards or credit cards maana wengine kama sisi hatuishi tz.nimeshindwa kuangalia part 2 kwaajili hiyo..tusaidieni uhindo
Ni nzuri ila ongezen option kama za kulipa kupitia kadi
I love bongo movie
Gabo hongera sana Bru'h
Very good app
Nzuri
cool
Easy to download, small in size. Easy to use. So far so good. I recommend for everyone....
Its work well every thing is Good
Best but we need More improvement for future users
So easy and so fast to use.
Its easy and bwst app
Amazing
Its very Nice App !
This app is a simple and easy to use
An awesome App
Guud
Good
Its amaizing app..you must download it
Best app and its simple for everyone to use
It's awesome
Mi natumia zantel siwezi kuangalia nifanyeje
by G####:
Movies zipo chache mno nimekuta muvi mbili tu siyabonga na kisogo jaribu kuweka nyingi kama mama ntilie safari ya gwaru ni nyingnezo nyingi ili mtu apate kupati vtu tofauti