Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo Kids - Hesabu za Panya Free App

Rated 4.25/5 (606) —  Free Android application by Ubongo

Advertisements

About Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.
Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.


JIFUNZE:
Thamani za namba
Kujumlisha
Kutoa
Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?
Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:
Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

How to Download / Install

Download and install Ubongo Kids - Hesabu za Panya version 1.2.1 on your Android device!
Downloaded 100,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.ubongokids.ratmathKis, download Ubongo Kids - Hesabu za Panya.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
2.3+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Enhanced performance and user experience
More downloads  Ubongo Kids - Hesabu za Panya reached 100 000 - 500 000 downloads

What are users saying about Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Q70%
by Q####:

Mpo vizuri kwani watoto wana enjoy mno..

Q70%
by Q####:

Mnastahili sana pongezi ni wa pekee kabisa haijawahi tokea hata east africa.

H70%
by H####:

Kazi nzuri ila inahitaji kuongeza vitu zaidi u Inafundisha kwa watoto.....nawapongeza

W70%
by W####:

Ubongo kids mnastahiri zawadi kwa kuwa fundi shanwn watoto wetu

Q70%
by Q####:

Mpo vizuri sana kwani mnaelimisha

N70%
by N####:

Safi sana. Watoto wanaipenda sana

Q70%
by Q####:

Ubungo kids mpo vizuri

Q70%
by Q####:

Nizuri mno na inaelimisha

Q70%
by Q####:

Safi sanaaaaaaaaa kwa watoto

A70%
by A####:

Yes I like

S70%
by S####:

Herufi na akili

Q70%
by Q####:

I think I love it so much we are enjoyed so much

Q70%
by Q####:

Naipenda sana

Q70%
by Q####:

It's a nice app for kids

Q70%
by Q####:

So unique in east Africa

Q70%
by Q####:

It's the best ever

Q70%
by Q####:

Nimeipenda

V70%
by V####:

Big up

G70%
by G####:

Good

Q70%
by Q####:

Good

S70%
by S####:

Ni kipindi kizuri sana kinafundisha watoto wetu kimefanya watoto wengi wapende hesabu.hongera sana

E70%
by E####:

Nimependa sana Ubungo kids sasa kijana wangu amejua kuhesabu na kutamka herufi naomba mtutembelee na mikoani jaman

A70%
by A####:

Ubongo kids your good guys keep it for teenage

Q70%
by Q####:

I like ubongo kids because inawafundxha watto we2

Q70%
by Q####:

Safi sana ubongokids mdogo wangu anafurahia sana hichi kipindi anakipenda kweli.asanteni sana nawatakia kila heli

Q70%
by Q####:

Asanteni kwa app hii maridhawa kwa watoto wetu...

Q70%
by Q####:

Nimefurahishwa sana na app hii kwa mtoto wangu akiangalia anajifunza vizuri sana na anafurahia sanaaa

Q70%
by Q####:

Mnawasaidia watoto wengi kujifunza kupitia simu ya mkononi

Q70%
by Q####:

Big up watanzania we zangu big up nchi yetu

Q70%
by Q####:

My kids like it very much. Thumbs up

V70%
by V####:

Huwa nawaona watoto wangu wanafurah wanapoangalia ubongo kids.penda sana ninyi

C70%
by C####:

If you can send me more videos of bongo kids

N70%
by N####:

Ubongo kids mpo vzr, madogo wanawaelewa sanaa

R70%
by R####:

Za kutaja herufi

S70%
by S####:

Kiluka

S70%
by S####:

Nice app

S70%
by S####:

nizuri sana

S70%
by S####:

Kabla ya kuanza kutumia APP ya Ubongo Kids, sikutambua kama kujifunza kwa njia ya APP kunaweza kuwa kwa kufurahisha na kwa kusisimua kiasi hiki. Nawashauri wazazi kutumia APP hii ili kuwasaidia watoto wao kujifunza na kuelewa hisabati kwa urahisi zaidi.

S70%
by S####:

App ni nzuri sana kwa watoto kujifunza hesabu, good work and keep it up

U70%
by U####:

mtoto anajifunza kwa urahisi huku akifurahia kutumia smartphone kazi nzuri keep it up


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.35
606 users

5

4

3

2

1