Tanzania Tech

Tanzania Tech Free App

Rated 4.64/5 (39) —  Free Android application by Tanzania Tech Media

Advertisements

About Tanzania Tech

Tanzania Tech ni programu ya habari na mafunzo mbalimbali ya teknolojia, programu hii ina lengo moja kubwa la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Tanzania Tech inasaidia jamii kuelewa kwa undani kabisa kuhusu teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania, yote hayo kupitia lugha moja tu ya Kiswahili.

Mpaka sasa Tovuti na programu ya Tanzania Tech inawafikia watu mbalimbali kutoka nje na ndani ya mipaka ya Tanzania huku ikifanikiwa kufikisha habari na taarifa zote kwa wakati kwa wana jamii wote waishio kwenye mipaka hiyo kwa kutumia lugha adhimu ya Kiswahili. Bado tunaendela kuboresha programu yetu pamoja na kuongeza vipengele vipya ili kuhakikisha kuwa hupitwi na habari yoyote ya teknolojia kutoka ndani au nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kutembelea tovuti yetu https://tanzaniatech.one/ kila siku nasi tuna ahidi kuleta habari zote za teknolojia kwa wakati.

How to Download / Install

Download and install Tanzania Tech version 1.0 on your Android device!
Downloaded 1,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.ttech.digitalwebbase, download Tanzania Tech.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.1+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Maboresho mapya
Kipengele kipya cha video kimeongezwa

What are users saying about Tanzania Tech

A70%
by A####:

Hongereni brothers Asanten kwa mchango wenu katika kutoa Elimu juu ya technologia Hongeren sana Lakin kwenye swala la matangazo inazngua aisee yan ukinavigate linakuta tangazo af yana jirudia yale yale tu bora ingekuwa yale ya chin sawa sasa yanajaza screen kabisa Fanyen mpango myatoe aisee soon kama ikiendelea hv m ntaitoa kabisa

U70%
by U####:

Good app lakini ninataka kujua mutanisaidiaje ili nitengeneze app please help me najua itakuwa mume maliza kazi lakini ikifika asubuhi naomba munijibu.

N70%
by N####:

Iko vizuri sana keep it up

U70%
by U####:

Iko poa ila maboresho yasikome

U70%
by U####:

Nice

U70%
by U####:

Good app

U70%
by U####:

Nice App

U70%
by U####:

Nice app

M70%
by M####:

Iko powa Sana. Toeni matangazo zaidi

O70%
by O####:

Uko Pw sana jo

U70%
by U####:

Kazi nzuri

U70%
by U####:

Ts so nice, and very helpful

A70%
by A####:

Ni nzuri sana inanisaidia kujua mambo mengi sana ambayo nilikua sijui. Kazi mzuri sana

U70%
by U####:

Nice app keep us informed and keep up the good work.

U70%
by U####:

10 st★r. Daaah nliitaj hii ila storage full see yah next time !!!!

B70%
by B####:

Keep up wakubwa kazi nzuri sanaa

W70%
by W####:

Iko gud ila iboreshw zaid

K70%
by K####:

Best for tech news in swahili


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.65
39 users

5

4

3

2

1