Tenzi za Rohoni for Android
I think it's good and lovely I like it may good be with us .amen
Ni nzuri sana. Nimependa mpagilio wake, na Rangi yake. Ongezeni na sauti kwa kila wimbo unavyoimbwa kama muongozo.
Ni nzuri sana Ila itakua vyema mkiongeza na sauti
Ni tenzi ya kweli tena haija kosewa. Ongezeni na sauti tujifunze kuimba nyimbo zote
Mbona hakuna sauti naomba msaada jinsi ya kupata sauti
HII NI TENZI YA ROHONI YA KWELI.MANENO YAKE HAYAJACHAKACHULIWA.
Kwa kweli ni nzuri sana sana
It's ok
Nice app. Please bring back "Tumwimbie Mungu Wetu" app
Imenipendeza sana sana
It has real encouraged and increased my faith.thanks
It's good coz am blessed. It's easy to use
Great app, blessings to the developer ????????????????
Very good app
Really Good
Is good
Love it
Light world mission Church
Jina la Bwana lihimidiwe
The songs are very neat and orderly. I like it.
Great app
Ni nzuri sana....kwanza mpangilio wake ni mzuri,na pia rangi za kurasa wakati wa kusoma haiumizi macho.
Ni nzuri sana uwapo safarini unapokuwa hujabeba kitabu cha tenzi , ni rahisi kukitumia,inafunguka haraka
Naomba mrekebishe Wimbo no 117, verse 3&4 zafanana
Light world mission Church
Tenzi ya 67 haijakamilika verse zake zipo mbili badala ya nne ifanyiwe marekebisho. Amani kwenu.
magreth joseph
Nyimbo hizi zanifariji sana katika wakati wote. Walio zitiya katika App hii, ninaomba Mungu awabariki sana!
The songs are very neat and orderly. I like it.
Nice one
Very nice try add all the songs.
Napenda sana kusikiliza
Napenda kuimba tenzi
Soothes my heart
Nyimbo nizipendazo mno,asante
Nyimbo hizi zinabariki sana.
God bless all how made this
Offline inasumbua sana
Wonderful
by M####:
Glory to JESUS CHRIST forever, Hallelujah Hallelujah Hallelujah. This is a good applications which I had been looking, now I found, Glory and Honour be to JESUS CHRIST forever. Unfortunately I can't rate it 5* until you solve the problem in the song no 67, the song it's not completed, you must type a full song accordingly in the hard copy of (Tenzi za Rohoni)