Audio Swahili Bible for Android
Wabarikiwe watunzi wa app hii
Hii app ni nzuri sana kuitumia na imenibariki sana
Put the relevant reference Scriptures which appears in another books at the margins of pages whenever available
Naipenda sana tena zaidi..kiswahili kitamu..waaaaaa thankz to the developers.
Nimeipenda sana Mungu awabariki sana
pse next tym add some background sound/instrumental to make it more attractive
Kazi nzuri ya mungu
I'm praising God. The word of God is simplified from reading to listening. I listen dairy. Do one favour, introduce an offline app that just consumes little space. God has blessed you with this idea.
Mwenyezi Mungu kweli awabariki na azidi kuwabariki kwa kazi hii njema ambayo mnayoifanya na kuiweka hii app kuwa free kwa matumizi ya wale wote walio na njaa na kiu ya neno la Mungu. Sina la kuwapatia bali Mwenyezi Mungu awakumbuke na awabariki kwa kazi hii ni kupitia jina lake Yesu na Mwokozi wangu naomba. Amina
Hongereni sana kwa kutupatia Biblia inayozungumza. Nawaomba jambo hili, kwa sasa Biblia inasoma sura moja tu, inakoma. Ifanyeni isome mfululizo wa kitabu chote na sura zake. Hii ni nzuri sana. Maana wakati mwingine nitahitaji nisikilize mfululizo wa zaidi ya sura moja. Asanteni kwa utumishi wenu uliotukuka.
Very nice,!! I like it! But l could'nt istall it, it's had to install when l Try to install its looking written waitting on wi-Fi please check again
It is good; only problem is that course It is not for permanent. Be blessing...
Bibilia kwa kiswahili ya kuzungumza in Baraka kwa wasioona. Barikiweni sana.
Wherever i go,whatever i do,the word keeps me going without thinking negatively when circumstances change within.Thanks to the app.
Iko vizuri sana kwasababu inasikilizika pasipo kuunganisha intaneti(offline ) Ila tatizo liko kwenye alama ya kupumzikia (koma), kwajinsi anavyo soma anaweka alama ya pumziko sehemu nyingi ambazo haikutakiwa kuwa, kwaiyo inakuwa haina mvuto kwenye kusikiliza. Mkifanya kama mlivyofanya kwenye lugha ya kiingeleza, anasoma vizuri sana na anasikilizika veme.
Hakika Mungu wa mbinguni atukuzwe kwa kuwapa watu uwezo wa kuiandaa kazi hii nzuri. Mungu awabariki sana
Wabarikiwe watunzi wa app hii
Hii app ni nzuri sana kuitumia na imenibariki sana
It used to have audio..but it suddenly lost it...why
Nmeipenda
Good work
Mungu ni mwema. Huu ni ushahidi dhidi ya "MR BUSSY" Wapendwa nyie mmefanya kazi yenu ambapo kwetu ni mashtaka yqnayotukabili tukishindwa kutumia kwa kisingizio chochote. Amen Mungu awabariki
Hakika kwa watakatifu wakristo tuna zawadi ya ondoleo la zambi kwa damu yake mfalme wa wafalme ni yesu ndio ngao yetu ila tutubu mapema kabla ya mauti hayajatokea kwetu .
Safi sana na hongera nilikuwa ninaomba ututafsilie na Qur'an audio Mungu atakuzidishieni.
Ninzuri sana mungi awazidishie new plans
Inahamasisha kusikiliza tuu
Inaondoa uvivu wa kusoma bible
Wendo
This a very good app. I praise the Lord Jesus Christ that I can listen to the Bible in Swahili. The only problem I have is that the audio will stop after each chapter. If it could play continuously, it would be 5 star easily.
Kwa kurahisisha usomaji wa biblia Mungu awa Bariki
Love to hear God's word in this language.
Inapendeza sana mbarikiwe.
Sina shida, iko tu sawa hivyo. But itakuwa zawa zaidi ikiwa iaendelea mlango mwingine ikimaliza mmoja
It takes hours to be downloaded!!!!
Amen
Be blessed
Nice
Loved it
Working smart
by U####:
Mungu awabariki kwa kazi njema unayofanya/mnayofanya Ningewapa 5 star ila rekebisheni ,kwa mfano yohana 2:5 itamkwe kwa maneno na sio mlango tu Kingine,kila sura ina mistari mingi,boresheni ili msomaji akitaka kusikia baadhi ya mistari asikie Kingine ipeni app uwezo wa kumaliza sara kitabu kizima means sura hadi sura