biblia takatifu ya kiswahili for Android
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnayo ifanya kwa kueneza injili kupitia huduma yenu. Sasa naweza kusoma neno la Mungu popote kwa kutumia simu yangu.
I love the app. Ila, ingekuwa vizuri zaidi kama wangeboresha na kuongeza nafasi yakuchagua lugha jingine tofauti ya kishwahili pekee, kama kubadiri lugha toka shwahili to English, French. Other than that, it still worth 5
MUNGU akubariki yeyote unae chukua nafasi kutafakari juu ya maneno yake aplikesheni hii ni meipenda sana ubarikiwe uliye iandaa nakutupatia
Very good application, only after searching it is not possible to select all lines from the searched list. Otherwise, keep it up!!!
niwapenda bure kwa kazi nzuri ya injiri kupitia apps hii
Neno la Mungu li nami kila niendapo.
I thanks for this application, it so nice one and easy to use
yesu anaweza asiyekubali ni mbishi tu,lakini ukweli anaujua
Coming to me inthe language I best understand!!
Ni nzuri Sana nabarikiwa maana popote Niko huwa nasoma bibilia
Ipo vizuri hadi raha
I Love it
Nice one .too simple to use
Biblia ninzuri naweza kusoma nakuilewa asanten sana muendelee hivyo
Love it
May our living God bless your work
The first one to me
Daaaaaaa raha Sana kumtumikia alie hai
Iko poa sana
Iko vzriii
it's woow fantastic. juxt can't explain.
Hivo yan
It is very simple to use it, yaan kwa ufupi ni mwalimu tosha, maana hadi kichwa changu ni kigumu kuelewa humu ninaelewa...1 Wakorinto 1:18-30 nimeipepda..sana.
This version is the best I've used so far, I can just remember a word; type it in search box and I get the whole verse. AMAZING!!!
Hii bibilia ni nzuri kwasababu unaweza share Neno na wengine moja kwa moja. Ina search haraka sana. Kinachonipa hofu bado ni kua ina maneno 10 thousands wakati bibilia nyingine zina maneno 500 thousands. Sijajua hii bibilia imepungua nini mpaka sasa. Pia sijaelewa ni bibilia ipi imetumika kama chanzo. Je ni NIV, King james ama ipi.? Nikiridhika na kuipitia zaidi kucheki aunthecity yake nitaipa nyota 5 kabisa. Ila iko poa sana.
NI NZURI AJABU NIMEIPENDA SANA BE BLESS WHO CREATE THIS
Maana unaweza kushare chochote Na huku unapata neno la siku
The best bible app I've seen thus far
Nzuri sana Mbarikiwe sana, kwa sifa na utukufu wa Mungu. Nakosa vitabu vya deuterokanoni tu.
MUNGU AWABARIKI WALIOTENGENEZA hii app yaani ni full shangwe
Nimeipenda ni rahisi kutafuta maandiko, Mungu akubariki.
Neno la Mungu li nami kila niendapo.
Glory to God
Nimeipeda sana kuliko maelezo
Naipenda sana
Jili kanunu fijo.
naipenda sana
Hivo yan
Very useful christian weapon
by X####:
Nzuri ila mngeweka 'option' ya kuchagua mistari/aya pia, maana baadhi ya sura/milango ina mistari mingi sana kama vile Zaburi ya 119