Quran - Swahili for Android
Kwa kweli ni kazi kubwa na nzuri isiyo na kifani mliyo ifanya na mmetufanya tuwe tunapata faida na manufaa makubwa sana kupitia application hii sina cha kuwalipa ila Allah atakulipeni malipo yalio bora zaid kwani yeye ndie mlipaji alie bora
Hii app kwa kweli inanisaidia sana. Hasa upande wa search. Ombi langu ni hizi arabic texts ziboreshwe zionekane kwenye format nzuri kama inavyoonekana app ya quran ya tafsir ya ibn kathir.
Kazi nzury mnoo Allah awalipe kila la khery in shaa Allah. Na awape umry mrefu mzidi kuitangaza Qur_an yake tukufu. Nawapenda Sanah.....
Bwana Yesu awabariki KWA app nzuri kama hii, it's helpful to us as gospel preachers
Excellent app, just need to add numbers for easy access, e.g. 1. Al Fatiha, 2. Al Baqara, 3. Al Imran etc up to 114.
Iko vizuri saana wapendwaa mungu awaongezee ujuzi kwa kutuletea somo kama hili katika mfumo huuu in shaa allah mungu awabariki
Jazaka Allah kheir nimepata nilicho kitamani alhamdulillah shukran sana
I give it 5 cause it helps alot Swahili readers may Allah reward you with your effort
It's good to learn al quaran inorder to be very stable and comfortable
Yani kiukweli iko vyema sana na mlio andaa app hii mungu atawalipa ujira ulio mwema inshaallah
Kwa Hakika Allah atawalipa Kwa Hili Kwani Tunafaidika Wengi Kupitia App hii.
NAOMBA. Muangalie surat HAJJ AYA 30 kidogo typing kwa kiswahili ikhtilaf basita...
Allah Awape na kuwazidishie baraka kwa kuturahishia kuelewa Quran kwa Kiswahili.
Hakika yeye aghalifu miadi. Kwa rehma zake. Awalipe mnachostahili katika hili.
Allah akuzidishie ufahamu na akuwekee wepesi duniani na kesho akhera wewe uliefanya kazi hii
Allah atakulipa kwa hili na mengineyo ya kheri ufanyao amini
I give 3 first after I find it useful I will comment again
Mwenye ez Mungu awazidishie zaidi kwa kaz nzuri mliofanya mashallah.
Hakik ni mwongozo wa maisha ya mwanadam
Jazakallahu khayr hi ni sadakt jaaria
The book that never change...
Allah akulipe kila kheri
Hey i tell u what u get paid on every deed u do so this guy who work hard to come out with this nice prog. ...mungu atakulipa kwasababu sisi watu wengine tungependa kuifahamu tafsiri ya kuran kwa kiswahil sababu sis wenyewe ni waswahili kwahiyo mungu akulipe duniani na akhera kila la kheri ....na sizani kama umepoteza.....nice work maalim....
ningeipa 5 stars lakini sabab ina crush sana napodownload audio...iko vizuri though thanks so much Allah atakulipeni kwa kazi kubwa kama hii.
Sina cha kukulipa ila dua Allah akupe kilalakheri uzidi kutunufaisha Kwa mema.nimejifunza mengi Kwa hii Qur'an jazakallahu kheir.
Loved it Tuzitumieni simu zetu katika mambo ya kheri huenda ikawa sababu ya kuingizwa peponi amim
U hv done a great job now tunaweza kuisoma quran na tukaielewa
Mashaa allah m/mungu awazidishiee kwa kazi yenu nzur jazzaka wallahul kheyri
Naipa 5 stars kwa sababu ya efforts..vile nimeitaka nikaipata..sijaifungua..insha Aĺlah Jazakka Allah
I love it now I can read and understand everything's in this Qur'an Kareem
Allah Awape na kuwazidishie baraka kwa kuturahishia kuelewa Quran kwa Kiswahili.
Khatari khatariiiiiiiiii khatari Sana sasa naweza kusema hofffffff.Allah simwenye kupoteza malipo ya waumin
Jazaka Allah kheir nimepata nilicho kitamani alhamdulillah shukran sana
Allah amzidishie huyu aliyetafsiri . Nikikuwa nkiitafuta sana
Jazakaallahul-khair kwa kazi kubwa na nzito
Peace be upon you all brothers and sisters
Asallam allekum nimeipenda sana hii app lakini kama kungekuwa na sauti ingependeza zaidi.
Nampongeza huyu aliyefanya kazi hii ya kutafsir Quran
Hakik ni mwongozo wa maisha ya mwanadam
by W####:
ningeipa 5 stars lakini sabab ina crush sana napodownload audio...iko vizuri though thanks so much Allah atakulipeni kwa kazi kubwa kama hii.