About Mama Mjamzito
Mjamzito ni programu ya simu inayokupa elimu ya mama mjamzito. Utapata ufahamu kwa kina namna ya kulea mimba na hatimaye kujifungua. Programu hii inagusa mambo yote kwa kina yanayohusu uzazi kwa ujumla. Zijue mbinu za kupata mtoto kwa uharaka zaidi na jinsia uitakayo.
Pia yajue matatizo ambayo yanaweza kusababisha ukakosa kushika ujauzito kwa muda au kutokushika ujauzito kabisa. Utakuwa na uwezo wa kuuliza maswali ya papo kwa papo na utapata ushauri juu ya afya ya uzazi kutoka kwa matabibu wabobezi.
Download and install
Mama Mjamzito version 1.1.7 on your
Android device!
Downloaded 1,000+ times, content rating: Everyone
Android package:
com.phonegap.mamamjamzito, download Mama Mjamzito.apk