zakoSMS

zakoSMS Free App

Rated 4.83/5 (24) —  Free Android application by pcg-Developer

Advertisements

About zakoSMS

zakoSMS ni app inayokuwezesha kupata SMS zako kutoka simu yako moja ya android, kwenda simu yako nyingine yoyote ya mkononi. Unachotakiwa kufanya ni kuipakua app hii na baada ya kuiweka kwenye simu yako ya kwanza, weka namba ya simu yako ya pili ili kuiwezesha kutumiwa SMS zote zitakazoingia kwenye simu yenye app hii.

Zingatia:
+ SMS itafanikiwa kutumwa na hii app endapo una salio au kifurushi chochote cha SMS kwenye simu yako uliyo-install hii app

+ Ruhusu zakoSMS kuwezesha kutuma SMS kwa namba yako uliyoiweka endapo itakutaka ufanye hivyo

How to Download / Install

Download and install zakoSMS version 1.4 on your Android device!
Downloaded 100+ times, content rating: Everyone
Android package: com.pacsal.yoursms, download zakoSMS.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
- maelezo zaidi ya jinsi inavyofanya kazi
- sehemu ya kuruhusu au kusitisha app
- uwezekano wa kufuta namba
- link ya kurate playstore inapatikana kwenye menu
- uwezo wa kukutumia taarifa za watu waliokutafuta kwa kupiga simu
Version update zakoSMS was updated to version 1.4

What are users saying about zakoSMS

N70%
by N####:

Jaribu kuiwezesha app iwe hidden kwenye installed device, na maelezo ya kutosha kuhusu mfano wa kuandika namba je ianze na country code au la!!! Bt ni app nzur watu wengi wanaisifia

N70%
by N####:

ongeza pulblicity ni nzuri

N70%
by N####:

Iko sawa sanaaaah

N70%
by N####:

I reel lyk MR

J70%
by J####:

nic work

T70%
by T####:

Great app!

V70%
by V####:

nic work

Y70%
by Y####:

Great

Y70%
by Y####:

Loved it

Y70%
by Y####:

Yes its cool this boy wat i liked a most iz ur idea keep it real bra

A70%
by A####:

Love it

M70%
by M####:

Great app!

Y70%
by Y####:

Best app, it more than best

B70%
by B####:

I'm proud of you...

Y70%
by Y####:

Helpful

L70%
by L####:

but is zakosms works only for swahili?

J70%
by J####:

Nice idea, very creative

Y70%
by Y####:

Safi sana kijana

Y70%
by Y####:

Keep it up bro


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.85
24 users

5

4

3

2

1