NijuzeTZ for Android
Lovely, despite the fact that, you have a long way to go. Make it happen.
Ila muwe na content za kutosha ili tuweze kuitumia Mara kwa mara
Ikiwezekana kuweka na matangazo ya ajira itakuwa nzuri sana!!!
Ila rangi imekolea sana hii ya kijani,haya maneno kuihusu app fonts styles chagua nzuri na uwiano wa rangi zingatia kati ya background n rangi ya maneno.
by Q####:
It's a good app, but there is a need to increase the content range so as to attract a broader base of internet users.