Muungwana

Muungwana Free App

Rated 4.34/5 (1,739) —  Free Android application by News Blog

Advertisements

About Muungwana

Get the Latest News, Sports and Entertainment from Tanzania and East Africa

How to Download / Install

Download and install Muungwana version Muungwana on your Android device!
Downloaded 100,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.muungwana, download Muungwana.apk

All Application Badges

Good rating
Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

Version update Muungwana was updated to version Muungwana
More downloads  Muungwana reached 100 000 - 500 000 downloads

What are users saying about Muungwana

S70%
by S####:

App yenu ni nzuri, lakini mmeshindwa kurekebisha hili tatizo tangu nilipowapa taarifa kuwa inafail kuendelea kwenye simu za huawei ascend y300. Kutokana na hili sina budi kuitoa kwenye simu yangu. Hainifai tena.

W70%
by W####:

nimefurahishwa kupata habari na matukio, kila napofungua mtandao napata news zile zinanifaa hasa za matukio na habari za hapa na pale katika mikoa yote tanzania nini kimejili, ila kwa sasa sifurahishwi na habari za kisiasa... niwatakie heri ya krismass na mwaka mpya 2017

S70%
by S####:

Taarifa zenu ni nzuri ukizisoma ni sawa na kusoma magazeti. Wekeni na magazeti ya leo kila siku mtakuwa mmezifunika blogs nyingine kwa mbali sana. Mko poa, mko Bomba!

W70%
by W####:

Its a chap Gud and reliable source of news in Tanzania nowadays...I real like and appreciate it..congratulation to Muungwana blogspot spot Team

S70%
by S####:

Big up sana. Asanteni kwa kazi njema ya kutupa habari mnayoendelea kuifanya. Bwana Mungu wa Mbinguni awabariki mno.

B70%
by B####:

But try to modify it sio kwamba had video zenu tuingie tubemate make advancement like Milad ayo

S70%
by S####:

Blog hii ni nzuri maana taarifa zake Mara nyingi ndizo tunaziona ktk taarifaza habari mbalimbali kit TV.

S70%
by S####:

Ninapenda Habari zenu,hasa kilimo, Afya na michezo ziwezi kosa kuangalia habari zenu kila siku na kila wakati, shukrani saaana tu

S70%
by S####:

you support to change graphic of this app is so bad

S70%
by S####:

imetulia hakuna kuboreka ni raha tu downloadini muienjoy hii app kwa habari zote

S70%
by S####:

ipo vizuri nitaipa nyota 5 pindi wakiongeza ukurasa wa maoni chini ya kila habari

S70%
by S####:

Wakati mwinginr habari mnzifupisha sana ,lakini app ni nzuri endeleeni kuimarisha tu

S70%
by S####:

Ni blog nzuri sana. Inahabarisha na kuelimisha. Huduma ya Magazeti ya Leo ipatikane usiku zote.

S70%
by S####:

Mpo vizuri sana aisee. Kwa blog hii niwapo popote mpo kutuhabarisha. Asanteni sana

S70%
by S####:

Hongereni sana, app nzuri ila adds zimekuwa nyingi mpaka shida. Punguzeni basi

P70%
by P####:

Nimeipeda sana hii blog uko vzr sana kaka hiiii ni kama dw

C70%
by C####:

I hope it would be interesting if you would improve De app by extending info coverage

Y70%
by Y####:

Wekeni nafasi ya maoni au comment mwisho wa habari pia video

W70%
by W####:

ni moja kati ya app zangu za kunijuza habati motomoto kila asubuhi

B70%
by B####:

Napenda kupata habari za uhakika za wakati uliopo. Big up Muungwana Blog.

Y70%
by Y####:

Love it

S70%
by S####:

Good app, you can update news online and read it offline

S70%
by S####:

Apps iko vizuri ila wekeni sehemu yaku comment coz tuna kuwa na mchango juu ya havari zinazotoka na pia ushauri juu ya apps

S70%
by S####:

Very nice blog in news and other useful info

S70%
by S####:

Its good App keep improving every time!

S70%
by S####:

Naipenda app hii coz ni napata taarifa mbalimbali kwa wakati.

S70%
by S####:

Blog yenu ni nzuri sana inatupatia habari pindi zinapotokea,congratulations!!!

D70%
by D####:

than good

E70%
by E####:

I salute you for a nice app

S70%
by S####:

maisha bila mungu hakuna maisha jamani tukumbuke kufa kupo tumuombe mungu kila sekunde Amiiiiiiiiiiiii

S70%
by S####:

A nice and quick app!

S70%
by S####:

Mansegi

D70%
by D####:

mnatupa taarifa nzuri. tunafurahi kwakweli

K70%
by K####:

App yenu ni nzur inanipa taarifa kwa wakat!

V70%
by V####:

Keep it up

F70%
by F####:

its best app news

V70%
by V####:

App yenuu ni mzur ila mungeeka sehmu ya maswal na majbu ingkuw pow

Q70%
by Q####:

App iko poa ila matangazo(ads) mengi mno

S70%
by S####:

Very informative.

S70%
by S####:

Am so glad to get your app...thanks for bringing that app to us


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.35
1,739 users

5

4

3

2

1