SmartMalipo for Android
Naimekubali kwa Huduma tatizo m-pesa na vocha za halotel boreshen yan kuwek Salio tu mpak kuwe na makato mnatumiza san tunagharamika Mara mbili MB na makato ya kuongeza salio jaribun kulekebisha iyo swala.
Mnachelewa verification ya new member nina siku ya tatu naoo na nikipiga hiyo namba naambiwa ni idara nyenginee saa ntapata wap msaada sijuii
Kama mtaweka utaratibu wa kuingia na kutoka ingekua poa zaidi ila kwa mfumo huu tunaogopa kuwekeza zaidi coz tunahofia usalama wa pesa zetu....
IKO POA MATATIZO NI KIASI NA YA KUREKEBISHA,NA PIA IKUMBUKWE ALIYETENHENEZA HII APP NI BINADAMU KAMA SISI SO KUKOSEA AMA MAPUNGUFU HUWA YAPO TUU,TUACHE KULALAMIKAA PASIPO NA MAANA
Iko below average sehem nyingi ni za kurekebisha ikiwepo na huduma kama halotel vocha. Reports ni muhimu kupata report binafsi kwa kila muamala sio kama zilivyopangwa kwenye list. I hope developer anapata ujumbe wetu naona malalamishi ni yale yale
Ndugu zangu msijaribu hata kidogo hii App, ni ya kihuni sana. Mimi nihamisha salio toka Mpesa kwenda SmartMalipo; ni siku ya 6 leo kimya. Nahisi genge la matapeli hili
App ni nzuri ila kwa wale wanaoweka pesa kumbukeni mkiweka pesa Terminal ID lazima iwe na zile herufi API ikifuatana na namba za mbele.laa sivyo pesa haitafika kwenye account yako.hata mimi mwanzo niliweka namba tu bila kuweka API.pesa haikuja.Maxmalipo Wekeni na Vocha za Halotel please.
Application nzuri sana yaani matatizo yote yaliyotajwa mwanzoni mmeyatatua hongereni sana na tunashukuru kwa kurahisisha maisha kwa kuachana na mambo ya kuprinti makaratasi kwenye mashine
Totally registered thieves whom have made stilling to be legal
Nice app but add other more services like vodacom bundles and airtel bundles. Muwe mnatuma SMS kwa mteja ili wasifijir utapeli
Very nice App but the problem is the payback percent, the payment is very poor, i suggest u to improve and increase the payback amount ok
App haina sehemu ya kuingia na kutoka.hii ni sheedah.mnaonekana matapeli maana ukiifomart simu bila kutoa pesa Yako Umeliwa
Sijaikubali maaana toka nime jiunga mpka Leo cjawai log in! Au nikwa ajili ya special members?
Wekeni huduma ya HALOTEL, halafu M-PESA haifanyi kazi
Hii Apps yenyewe haipo poa kwa sababu haikubari uifungue haituzi memory
Mbona account yenu inasumbua sana na watu wanawasiwasi sana kulikoni?
Mtakapo jarbu kurekebisha changamoto nitawapa nyota tano
Iko poa ila ongezeni malipo ya SUMATRA
Ninzuri kwa sass wameboresha
We need Halotel and smart access
How to recharge account
Nina pataje kamisheni yangu
Nzuri sana
Complicated to use
Duh! Usijichanganye uka uingia me nilikuwa naipima tu! Nimeuingia nime shapata hasara ila baridi tu Hawa jamaa ni matapeli USIJICHANGANYE UKA DOWNLOAD HII APP NI MIYAYUSHO na nyinyi mnaosema hii App iko vizur nahis mna masirah au tim moja maisha magumu kudhulumian is not fear
Poor Customer service na App yenyewe haitunzi kumbukumbu na taarifa za wakala...ukifuta unatakiwa uweke acc mpya sio ile ile ya mwanza..bullshit
The problem is whenever we sell Luku or pay dawasco fr the customer and write his/her mobile number, he/she never gets SMS fr the payment done in their mobile.
Nimedownload hii version mpya, nimeweka salio kwa Mpesa na nimeweza kulipia huduma. This is the app to have.
Safi sanaaa....... Halotel pia muiongezen kwnye huduma zenu, bila kusahau na M-pesa.
Simply, once your use it you'll surely loose your money too.
Please improve Customer service. The activation of the app for use is taking ages!
BoRESHEN UPANDE WA RIPOTI ..XOME TIME INAKALILI .XOME TIME BAADA YA MUAMALA INALETA BALA CE TOFAUTI .nitaipa nyota tano mkilekebisha
Some sevices are not available, like M-pesa/Smart
Napatashida log in kila nikifanya hivo inajibu regestretion not found sijajjua inasababishwa na nini. Msaada tafadhali
I really like it but how does M.PESA work on this application?
hii application nimeipenda sana. mambo ndio haya
I like how the luku,dawasco works on this.. this is app to have
Nmeipnda
Iko poa...loving it
by Z####:
Fraud! whoever developed didn't research on the end user experience, there lots of bugs, complicated login process in short this should labeled as a beta program not otherwise! Customer service isn't available or even reliable! Is that all you get from the giant MAXMALIPO? Stop advertising this app!