Kilimo Kinalipa Sana for Android
SHUGHULI ZA KKS
1. KUTOA ELIMU YA KILIMO KWA WATANZANIA
2. KULIMA MATIKITI, NYANYA, VITUNGUU, MAPAPAI, HOHO NA PARACHICHI
3. KUFUGA KUKU WA MAYAI (LAYERS), NYAMA (BROILER) NA KUKU WA KIENYEJI
4. KUINGIA UBIA NA WADAU WA PEMBEJEO ILI KUWASAMBAZIA WANACHAMA WETU WA FACEBOOK PAGE, WHATSAPP GROUP NA WANAOFIKA OFISINI
TUNAAMINI:
1. WAKURUGENZI ( CEOS) WAJAO WATATOKA KWENYE SEKTA YA KILIMO
2. KILIMO PEKEE KITAONDOA TATIZO LA AJIRA, NA KILA KIJANA ANAWEZA KUPATA KAZI KUPITIA KILIMO
3. NCHI YETU HAITAKUMBWA NA TATIZO NJAA KAMA TUTAWEKEZA KWENYE KILIMO
4. UCHUMI WA NCHI YETU UTAKUA KWA KASI KUBWA KUTOKANA NA KILIMO CHA TIJA
5. TUNAAMINI KILA KIJANA ANAO UWEZO WA KUWA TAJIRI KAMA ATAWEKEZA KWENYE KILIMO NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ZAKE ZOTE.
6. TUNAAMINI SERIKALI YETU ITASAIDIA VIJANA KATIKA KUWEKEZA KWENYE KILIMO.
7. TUNAAMINI KWA TAARIFA SAHIHI ZA KILIMO NA TAFITI ZITASAIDIA VIJANA KULIMA KWA TIJA
8. TUNAAMINI NCHI YETU IMEBARIKIWA NA KILA AINA YA RASILIMALI NA TUTAZITUMIA VIZURI KUWEKEZA KATIKA KILIMO.
Uhakika wakupata mengii.. nimejifunza mengi kuanzia Facebook ac yenu
Iko vizuri sana.
Great App, highly recommended to farmers
Nzuri Sana hii
Eeeh bana nimeipenda hii... from fb acount mpaka huku sasa elimu imesogea karibu zaidi
Kilimo kinalipa
Like itt
Mzuri sana
by J####:
Its nice,interesting with good directions about agri-business.love it,,,!