Udaku

Udaku Free App

Rated 0.00/5 (0) —  Free Android application by App Mobile Tanzania

About Udaku

Udaku ni app ya kijamii inayoruhusu kutuma habari pale zilizokufikia. Unaweza kupiga picha kutumia simu yako na ukaambatanisha na habari/taarifa/udaku wako ili kuunogesha zaidi.

Udaku/Habari ni zote, ziwe za kisiasa, burudani, mastaa, fununu n.k ila kuwa makini unapotuma usitume habari ambayo itachochea mabaya kufanyika kwani sheria haipo mbali kuchukua mkondo wake.

Pia habari inaweza kutoka kwenye mitandao ya kijamii au magazeti au taarifa ya habari n.k kwani app hii ni kama uwanja wa kueleweshana na kuhabarishana zaidi.

Unapotuma habari nyingi utaongeza idadi ya wanaokufollow kuwa nyingi na hiyo ni faida kwako kwani tuna huduma ya kutuma ujumbe mmoja kwa wote wanaokufollow na ujumbe huo ukaenda kwenye inbox zao na faida nyingine nyingi.

How to Download / Install

Download and install Udaku version 1.0.4 on your Android device!
Downloaded 50+ times, content rating: Not rated
Android package: com.johnprogrammertz.udaku, download Udaku.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.1+
n/a
Not
rated
Android app

App History & Updates

What's Changed
General Improvements

Oh snap! No comments are available for Udaku at the moment. Be the first to leave one!

Share The Word!


Rating Distribution

RATING
0.05
0 users

5

4

3

2

1