Team Mond

Team Mond Free App

Rated 0.00/5 (0) —  Free Android application by App Mobile Tanzania

About Team Mond

Hii ni app maalum kwa ajili ya fans wa Diamond Platnumz. Discuss mziki, rumors, leaks {chochote kuhusiana na Diamond Platnumz}. Unaweza kutuma post na kuambatanisha na picha na wengine wakachangia maoni, fans wanaweza kutumiana ujumbe, ku-follow n.k.

Kwa nini app hii...?
App au social platform nyingi hazina uwanja wa fans kudiscuss maswala kuhusu na wanachokipenda zaidi, App hii ni uwanja wa bure kwa wale wanaompenda DiamondPlatnumz, una ruhusa ya kushare chochote ili mradi kisiwe abusive.

Pata Tsh: 500 bure na inaongezwa kwenye akaunti yako papo papo... kivipi..?
Unapojiunga kwenye app hii, ukienda upande wa settings, utaona button inakuarifu ku-share app hii kwenye facebook yako, na unapokamilisha ku-share, tutakuzawadia Tsh: 500/= na hiyo inaingia kwenye akaunti yako ya app hii papo hapo. Pesa hii unaweza kuitumia ndani ya app.

Kwenya app hii unaweza kutengeneza ulimwengu wako wa Kijamii, wengine wakakufollow ambapo italeta faida ya wewe kuweza kutuma ujumbe mmoja tu na ujumbe huo kwenda kwa wote wanaokufollow.. namna nzuri ya kuwasalimu wanaokufollow au kuwajulisha swala muhimu kuhusu wewe.

Unaweza kutangaza kwenye app hii au apps zingine tunazoziingiza kila mara na kulingana na matakwa yenu, tangazo utakalolituma litaonekana kwenye apps utakazozichagua kwa muda uliochagua.

Unaweza ukawa featured member, ambapo utaonekana kila ukurasa na hivyo kuwa na faida ya kuongeza idadi ya wanaokufollow, bio na social media zako kuonekana na wengine wanapobonyeza wanaenda moja kwa moja kwenye akaunti yako ya hizo social media.


Mengi yanakuja kwenye app hii, maoni yenu pia yatasaidia kuifanya app hii iwe nzuri zaidi.

Kumbuka, Ukishajiunga kwenye app hii automatically utakuwa umejiunga kwenye apps zetu zote tutakazoziongeza za Fans zinazofanana na hii, na hivyo kukurahisishia kazi ya kujiunga jiunga na hivyo kwenye apps zingine zetu utaweza kuingia tu kwa kutumia akaunti utakayojisajili kwenye app hii.

Mengi yanakuja, na kwa maoni yenu tunaweza kuiboresha app hii na kuwa nzuri zaidi ya hapa ilipo.

How to Download / Install

Download and install Team Mond version 1.0.4 on your Android device!
Downloaded 10+ times, content rating: Not rated
Android package: com.johnprogrammertz.diamondplatnumz, download Team Mond.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.1+
n/a
Not
rated
Android app

App History & Updates

What's Changed
General Improvements

Oh snap! No comments are available for Team Mond at the moment. Be the first to leave one!

Share The Word!


Rating Distribution

RATING
0.05
0 users

5

4

3

2

1