Jicho Tz

Jicho Tz Free App

Rated 5.00/5 (5) —  Free Android application by Christopha M Mbinda

Advertisements

About Jicho Tz

Ili binadamu aweze kuona yanayajiri ulimwenguni anahitaji Macho, Jicho Tz Media tumelenga kukuhabarisha kwa habari kemkem zinazotokea ndani na nje ya Tanzania na vitongoji vyake, Pakua app ya jicho tz leo na uweze kufurahia habari kedekede kiganjani mwako. Kupitia app ya jicho tz utaweza kufurahia Habari za kila siku, Michezo, Makala, Hadithi, Mafunzo mbalimbali na habari nyinginezo kedekede bureee kabisa. Ukiona inakupendeza usisahau ku-comment na kisha tupatie nyota (5 star) Tano, Pia usisahau ku-share kwa marafiki nao waweze kufurahia vionjo mbalimbali kutoka jicho Tz

How to Download / Install

Download and install Jicho Tz version 1.0 on your Android device!
Downloaded 10+ times, content rating: Everyone
Android package: com.jicho.tz, download Jicho Tz.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Imeboreshwa zaidi

What are users saying about Jicho Tz

D70%
by D####:

Kama kungekua na nyota sita basi hii app inastrahiri.. maana tunapata zaid ya habari

J70%
by J####:

Mimi napenda sana Hii App kwasababu napata habari za kila saa Dunia nzima kwa muda mwafaka... I like Olso to read

U70%
by U####:

App ni nzuri sana.. I like it..

J70%
by J####:

Superb!!


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
5.05
5 users

5

4

3

2

1