Jamaa Social network

Jamaa Social network Free App

Rated 5.00/5 (1) —  Free Android application by Mr Mbena

About Jamaa Social network

JAMAA social network App is the best app that you will enjoy connecting with people you admire without limits. Meet genius Africans and talk about investment in Africa. promote your business for free get free adverting offer when your group has more than 150 members you admin

App ya JAMAA inakuwezesha kuwasiliana na Watu uwapendao kama familia ndugu na jamaa uwapendao. Unatafuta mchumba app hii ni muhumu kwako. Unataka Kuanzisha biashara huna mtaji app hii ni muhimu kwako, Unatafuta kazi app hii ni suluhisho kwako, Unasubiri matokeo ya mtihani wa kidato cha nne app hii ni lazima kwako

Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha biashara kwenye intaneti bila pesa yoyote app itakuwezesha yote Ijaribu kwa kuiweka kwenye simu yako app ya JAMAA ugundue ulivyokuwa unavikosa kwenye mitandao ya kijamii kama fesi buku wasapu na twita. Watumie marafiki app hii ya JAMAA wakushukuru

Ukianzisha group kwenye mtandao wa JAMAA Utakuwa umejiajiri kwakua group lako litakuingizia pesa kuliko mtandao wowote ambao unamiliki gropus na una members wengi. Maelezo zaidi kuhusu habari hii utayapata kwenye app hii baada ya kuwa umeweka kwenye simu yako na unaitumia app ya JAMAA

How to Download / Install

Download and install Jamaa Social network version 1.0 on your Android device!
Downloaded 50+ times, content rating: Not rated
Android package: com.jamaa.tz, download Jamaa Social network.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
n/a
Not
rated
Android app

What are users saying about Jamaa Social network

Q70%
by Q####:

Safi sana


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
5.05
1 users

5

4

3

2

1