About Global Publishers
GLOBAL PUBLISHERS, Kupitia App yake mpya ya GLOBAL PUBLISHERS, imekurahisishia upataji na usomaji wa Habari za Kila Siku kuhusu Mastaa wa Bongo, Watu Maarufu, Viongozi, zikiwemo Habari za Magazeti ya Tanzania za kila siku asubuhi. Pia Global PUBLISHERS imekurahisishia upataji wa BREAKING NEWS mara tu zinapotokea kwa kupokea Notification kwenye simu yako ya kiganjani. Pia usisahau ndani ya App hii kuna Global TV ikikuletea video zote kali za kila siku kutoka Ikulu, Mastaa wa Bongo, Wanasiasa Wote na Matukio yote Makubwa.
AIDHA, utaweza kusoma MAGAZETI YA UDAKU pamoja na Hadithi za Eric Shigongo kwa Mfumo wa Audio na Text. Pia Video Za Muziki Mpya wa Bongo Fleva, Habari zote za Michezo na Makala za Mapenzi na Afya unazipata ndani ya GLOBAL PUBLISHERS APP. Utakuwa ukipata Notification mara tu Taarifa ya Habari yaTBC1 inapoanza saa moja asubuhi, saa saba mchana, saa mbili usiku na Global Habari inapoanza kila siku jioni.
Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz, Ali Kiba, Wema Sepetu, Zari The Bosslady, Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto, Lulu MIchael, Tunda, Giggy Money, Malaika,
DOWNLOAD GLOBAL PUBLISHERS APP SASA ILI UWE WA KWANZA KUHABARIKA NA KUBURUDIKA!
Download and install
Global Publishers version 1.8.4 on your
Android device!
Downloaded 10,000+ times, content rating: Everyone
Android package:
com.globalpublishers.mainapp, download Global Publishers.apk
by R####:
Very updated news including video illustrations and documentary.