About Fiqhi ya Ibada - Funga
Funga kwa njia ya picha: ni sehemu katika mradi wa ‘Fiqhi Ibada yenye picha’
Sehemu hii inahusika katika kumuelekeza-mwanafunzi atekeleze nguzo hii utekelezaji mzuri kiasi cha kukamilika kwa Uislamu wake-Sifa ya Funga, fadhila zake, hukumu yake, nguzo zake, yenye kuruhusiwa, yenye kukatazwa, yenye kuharibu hadi kwenye yenye kuruhusiwa kufungua katika mchana wa Ramadhani, kisha funga za Sunna, muda wake na yenye kuharamisha funga yake na kuchukiza, kisha huelezea Lailatul Qadr, fadhila zake na matendo yenye kupendeza na alama zake. Mwishowe inamalizia kwa ‘Itikafu katika mwezi wa Ramadhani; maana yake, fadhila, hukumu zake, wakati wake na yenye kuruhusiwa na kukatazwa.
www.fiqhiswahili.com
Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo:
1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
2-Kiasi cha masomo 57
3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho
Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:
1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.
Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.
Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu Close by pictures: a part in the project "a picture Fiqh Worship '
This section focuses on directing him-student execute this pillar good implementation in the completion of his Islam-Characteristics of Tie, His Grace, his judgment, his pillars, consisting allowed, a prohibition, highly damaging to the highly allowed to open in the daytime of Ramadan, then scored the Sunna, a prohibition expired and closed it and disliked, then explains Lailatul Qadr, his virtues and practices acceptable to his score. Finally, it concludes with 'devotions in the month of Ramadan; meaning, virtue, his judgment, his time and of allowed and forbidden.
www.fiqhiswahili.com
Come true copy of 'Tatbiiq' of jurisprudence collects pictures Ibadat with the following:
1-More than 55 video teachings
2-The amount of tuition 57
3-Hundreds of pictures with explanations and teachings
This jurisprudence is renowned for its execution the following:
1-The possibility of finding any ASW, including the ability to kutafura verses and Hadith apart.
2-Options various coordination instruments
3-Ability to set light when reading
4-Console which you can put video lessons and various yaliyokupendezesha for ease of goes.
5-Ease of that they prefer to send to your friends through e-mail.
6-your friend to share what you find interesting in applications in social networking sites such as face book and twiter and others.
As 'Tatbiiq' This has been interpreted for more than five languages, namely: (English, French, Chinese, Ki-indonesia, Bengali, Kifursi, Russian, Tajik, Urdu, Hausa, Kiswahili, Spanish, Portuguese, German, Kihamhari) some zimeshateremshwa and other Insha'llah follow its implementation.
Fiqh of Worship was a picture-is a must for every Muslim house