About Fiqhi ya Ibada Kwa Njia Picha
‘Tatbiiq’ (Utekeleza wa) Fiqhi ‘Ibadat yenye picha huzingatiwa kuwa ni utekelezaji wa kwanza kabisa wa mafundisho ya Ibada kwa muislamu katika: Tohara, Swala, Funga, Zakat na Hijja kama ilivyokuja katika Qur-aan na katika sunna za Mtume kwa njia mbali mbali; inayokusanya: Nasw yenyewe (kama ni aya au Hadithi), sauti na picha zilizotuwa na zenye kutembea, masomo kwa njia ya video; yenye kusaidia katika wepesi na hali ya uharaka zaidi wa kujifunza na kutekeleza; nayo ni kutokana ya kuwa Nasw pekee haimtoshelezi mtu kujifunza fiqhi kwa njia sahihi zaidi na kwa ukamilifu wake, lakini kujifunza makini kunahitaji njia ya kuona mbali na Nasw yenyewe, haya yanathibitishwa na kauli yake Mtume, “Swalini kama mlivyoniona nikiswali.”
www.fiqhiswahili.com
Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo:
1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
2-Kiasi cha masomo 57
3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho
Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:
1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.
Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.
Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu 'Tatbiiq' (Action a) Fiqh 'Ibadat a picture is considered to be an implementation of the very first to the teachings of worship for the Muslim in circumcision, Prayer, Fasting, Zakat and Hajj as it came in the Quran and the sunna of the Prophet by far off; er: ASW itself (as a verse or Hadith), voice and image zilizotuwa and with movement, learning through video; with help in quicker and more sense of urgency to study and implement; it is due to be alone can imtoshelezi person ASW study jurisprudence through more accurate and in its entirety, but requires careful study ways of seeing off and ASW itself, these are confirmed by the statements of the Prophet, "Swalini if you vyoniona I question."
www.fiqhiswahili.com
Come true copy of 'Tatbiiq' of jurisprudence collects pictures Ibadat with the following:
1-More than 55 video teachings
2-The amount of tuition 57
3-Hundreds of pictures with explanations and teachings
This jurisprudence is renowned for its execution the following:
1-The possibility of finding any ASW, including the ability to kutafura verses and Hadith apart.
2-Options various coordination instruments
3-Ability to set light when reading
4-Console which you can put video lessons and various yaliyokupendezesha for ease of goes.
5-Ease of that they prefer to send to your friends through e-mail.
6-your friend to share what you find interesting in applications in social networking sites such as face book and twiter and others.
As 'Tatbiiq' This has been interpreted for more than five languages, namely: (English, French, Chinese, Ki-indonesia, Bengali, Kifursi, Russian, Tajik, Urdu, Hausa, Kiswahili, Spanish, Portuguese, German, Kihamhari) some zimeshateremshwa and other Insha'llah follow its implementation.
Fiqh of Worship was a picture-is a must for every Muslim house