Muziki Zamani for Android
I like this app
App ni nzuri ila inagoma kupakua nyimbo
Nice
Mfumo wa kudownload ni mbovu kama ukibahatika kupata nyimbo 2 Shukuru MUNGU.
Ucitumie
Easy to download mziki Wazamani
Good
Zilipendwa
Inagoma
I love it
Idea ya hii ni nzuri mno, but kuna vitu vichache kurekebisha mfano nyimbo nyingi azifiki mwisho na mfumo wa download sio mzuri
Ulaaniwe ww uliyebuni hii app
Fecbook
Good
I can't see 0 star. UPUUZI MTUPU MBONA APP HAIFUNGUKI MIMI KILA MWEZI NANUNUA GB10
Enzi hizo
Zote
Nzuri Ila nyimbo za mchiliku hakuna
The app is wow.... Ila kila nikiplay wimbo siwezi kupose na kudownload pia nashindwa nyimbo nyingine zipo tofauti na majina yanayoonekana
App nzuri sana kwa kusikiliza na kupakua miziki mbalimbali ya zamani
I love it
Zilipendwa
Hii app haifunguki kwenye SIMU yangu sijajua tatizo nini na data ninazo za kutosha jaribu kuiboresha sana ili wapenzi wa music wa zamani wafurahie na hii app
AGNETHA KAROKORA
Nice Nice Nice. ..
nimeipenda bure, uko vizur sana.. ongeza nyimbo.. atleast ziwe nyingi tupate burudani zaidi..
Love it
Western jazz
Pesa mbele mnaweka
Im an old man who got most of that music presented and enjoyed very much.
Many old musics are in download to enjoy the musics.
Memories are made of these
Boresheni zaidi
Consultant
It's
upo vizuri, nice app
Kiukweli hii application ni kazi nzur kwenye ukweli lazima tuseme kweli ila jitahidi kuongeza zaidi nyimbo ili ibambe zaidi
Safi sana
Nzuri
by N####:
Hii app inanikera kwenye kupakua nyimbo simuiboreshe ili tuweze kudownload