Muziki Zamani

Muziki Zamani Free App

Rated 4.34/5 (201) —  Free Android application by MSoft Tanzania

Advertisements

About Muziki Zamani

Je wewe ni mpenzi wa muziki wa zamani maarufu kama Zilipendwa? Kama ndio basi unahitaji kuwa na App hii kwenye simu yako. Muziki Zamani itakuwezesha kusikiliza nyimbo zilizotamba miaka ya nyuma popote ulipo.

NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki, lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii. Are you a lover of classical music popular as admired? If yes then you need to have this app on your phone. Zamani Music allows you to listen to songs zilizotamba years back wherever you are.

NB: This app uses internet will enable you to listen to music, your phone must be connected to the Internet in order to use this service.

How to Download / Install

Download and install Muziki Zamani version Varies with device on your Android device!
Downloaded 100,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.ewebtz.mzikizamani, download Muziki Zamani.apk

All Application Badges

Free
downl.
Bug
buster
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
v1.5.5 Fixed Minor Bugs
More downloads  Muziki Zamani reached 100 000 - 500 000 downloads
Version update Muziki Zamani was updated to version 1.4.2
More downloads  Muziki Zamani reached 50 000 - 100 000 downloads
Version update Muziki Zamani was updated to version 1.2.0

What are users saying about Muziki Zamani

N70%
by N####:

Hii app inanikera kwenye kupakua nyimbo simuiboreshe ili tuweze kudownload

N70%
by N####:

I like this app

Y70%
by Y####:

App ni nzuri ila inagoma kupakua nyimbo

S70%
by S####:

Nice

S70%
by S####:

Mfumo wa kudownload ni mbovu kama ukibahatika kupata nyimbo 2 Shukuru MUNGU.

S70%
by S####:

Ucitumie

S70%
by S####:

Easy to download mziki Wazamani

S70%
by S####:

Good

Z70%
by Z####:

Zilipendwa

S70%
by S####:

Inagoma

S70%
by S####:

I love it

B70%
by B####:

Idea ya hii ni nzuri mno, but kuna vitu vichache kurekebisha mfano nyimbo nyingi azifiki mwisho na mfumo wa download sio mzuri

S70%
by S####:

Ulaaniwe ww uliyebuni hii app

S70%
by S####:

Fecbook

G70%
by G####:

Good

Z70%
by Z####:

I can't see 0 star. UPUUZI MTUPU MBONA APP HAIFUNGUKI MIMI KILA MWEZI NANUNUA GB10

G70%
by G####:

Enzi hizo

Z70%
by Z####:

Zote

Z70%
by Z####:

Nzuri Ila nyimbo za mchiliku hakuna

U70%
by U####:

The app is wow.... Ila kila nikiplay wimbo siwezi kupose na kudownload pia nashindwa nyimbo nyingine zipo tofauti na majina yanayoonekana

Z70%
by Z####:

App nzuri sana kwa kusikiliza na kupakua miziki mbalimbali ya zamani

Z70%
by Z####:

I love it

H70%
by H####:

Zilipendwa

Z70%
by Z####:

Hii app haifunguki kwenye SIMU yangu sijajua tatizo nini na data ninazo za kutosha jaribu kuiboresha sana ili wapenzi wa music wa zamani wafurahie na hii app

Z70%
by Z####:

AGNETHA KAROKORA

J70%
by J####:

Nice Nice Nice. ..

D70%
by D####:

nimeipenda bure, uko vizur sana.. ongeza nyimbo.. atleast ziwe nyingi tupate burudani zaidi..

E70%
by E####:

Love it

Z70%
by Z####:

Western jazz

Z70%
by Z####:

Pesa mbele mnaweka

Z70%
by Z####:

Im an old man who got most of that music presented and enjoyed very much.

Z70%
by Z####:

Many old musics are in download to enjoy the musics.

N70%
by N####:

Memories are made of these

V70%
by V####:

Boresheni zaidi

Z70%
by Z####:

Consultant

K70%
by K####:

It's

L70%
by L####:

upo vizuri, nice app

K70%
by K####:

Kiukweli hii application ni kazi nzur kwenye ukweli lazima tuseme kweli ila jitahidi kuongeza zaidi nyimbo ili ibambe zaidi

M70%
by M####:

Safi sana

J70%
by J####:

Nzuri


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.35
201 users

5

4

3

2

1