ZACKFINANCE

ZACKFINANCE Free App

Rated 5.00/5 (4) —  Free Android application by Edumek Systems

Advertisements

About ZACKFINANCE

Zackfinance ni kampuni inayojishuhulisha na shughuli za mikopo midogomidogo, ukusanyaji madeni na ushauri wa biashara kwa wajasiriamali iliyo sajiliwa na jamuhuri ya muungano wa tanzania yenye reg no 211495.

Zackfinance ilianza rasmi kazi mwaka 2011 inchini Tanzania kwenye makao makuu bunju B, DSM, Tanzania, na mpaka sasa ina matawi 2 ambayo ni ilala bungoni na ubungo mawasiliano.

Zackfinance ni kampuni ya kizalendo yenye nia(vision) ya kumsaidia mjasiriamali mdogo(mchanga) kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara na mawazo yake ya kibiashara.

How to Download / Install

Download and install ZACKFINANCE version 2 on your Android device!
Downloaded 500+ times, content rating: Everyone
Android package: com.edumek.zackfinance, download ZACKFINANCE.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Fomu mpya ya kuomba mkopo.
Kuweka picha ya waombaji mkopo na biashara yao.

What are users saying about ZACKFINANCE

Z70%
by Z####:

Its good

Z70%
by Z####:

Excellent

Z70%
by Z####:

App nzur kwa masuakla ya mikopo, pamoja na taarifa mbalimbali za kiuchumi


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
5.05
4 users

5

4

3

2

1