About Nunua Ardhi
nunua ardhi ni app inayo kusaidia kutafuta ardhi ya kununua kwa kukupatia taarifa za ardhi husika ikiwa ni pamoja na bei na muuzaji wa hiyo ardhi.
taarifa zinazo patikana ni pamoja na
Ukubwa wa ardhi
Mahali ilipo ardhi husika (Mkoa, Wilaya, Kata na Mtaa)
Huduma zinazopatikana hapo (umeme,maji na barabara)
Hadhi ya kiwanja/shamba husika (imepimwa,imepangwa na hati miliki)
taarifa za muuzaji(jina,anuani,simu na email)
Troubleshooting
kama itaonekana program inachukua muda mrefu bila kuonyesha kitu angalia mtandao na wezesha data alafu nenda kwenye settings na bonyeza kitufe cha sync now program ita pakua taarifa za viwanja ikimaliza unaweza itumia kama kawaida
Download and install
Nunua Ardhi version on your
Android device!
Downloaded 1,000+ times, content rating: Everyone
Android package:
com.ebundala.nunuaardhi, download Nunua Ardhi.apk
by Z####:
It is awesome application try it