Uwaridi

Uwaridi Free App

Rated 4.47/5 (55) —  Free Android application by Dau Technology LLC

Advertisements

About Uwaridi

Uwaridi or Uwaridi App, Uwaridi riwaya, is a mobile app which brings attest for quality work from various Tanzanian authors. Its incredibly difficult to find quality novel in Tanzania. Uwaridi app makes it possible by unifying the collective work from various Tanzanian authors. The Books you find in Uwaridi app are high quality work which has been reviewed by internally by Uwaridi organization. Uwaridi stands for Umoja wa waandishi wenye Dira, is a legal organization registered in United republic of Tanzania. Through Uwaridi you can find books of various genres such as Love story or stories, Horror, fiction, spy or spying, detective, fiction, politics and others.

The Uwaridi riwaya has the following features.

1. Ability to save contents for offline reading while user has no internet connection.
2. Easy purchase by using Tanzanian mobile money system such as Mpessa (M-Pesa), Tigo Pesa (TigoPesa), Airtel Money (AirtelMoney), Halo Pesa (HaloPesa) and Ezy or Z Pesa.
3. Easy navigation
4. English and Swahili Support, default is Swahili which can be changed essay by tapping the gear button which leads to Settings page.
5. Read up to 15 pages for FREE.
6. Advanced Search called mtojo, which enables readers to search books by author, genre and more.
7. Wallet support, this enables readers to top up any amount to their Dau Wallet which can be used to purchase any book any time.
8. If sample isn't enough, each book has description which helps the reader to get book insight even before purchase.

— SWAHILI
Uwaridi ni app ambayo inakuletea kazi bora za waandishi mbalimbali wa kitanzania na zaidi ya Tanzania. Ni vigumu sana kupata riwaya au simulizi za waandishi bora hapa Tanzania, lakini uwaridi riwaya app inafanya simulizi hizi zipatikane kiurahisi zaidi. Vitabu, riwaya,simulizi, hadithi mbalimbali zilizomo uwaridi zimeratibiwa kwa umahiri, hivyo riwaya utakzopakua katika uwaridi utazifurahia mwenyewe. Licha ya hadithi, uwaridi ni Umoja wa waandishi wenye dira ambao umesajiliwa kisheria nchini Tanzania. Hadithi zilizomo ndani ya app hii ni za wale waandishi waliojiunga na umoja huu wa uwaridi. Ni wakati umefika sasa kusoma simulizi, hadithi, riwaya za maana kutoka kwa waandishi Hawa mahiri. Jikite au zama kwenye simulizi za waandishi hawa na upate uhondo.

Uwaridi app ina vitu vifuatavyo:

1. Rahisi sana kutumia, bonyeza kitufe cha kupakua hadithi, na mara moja una pata hadithi uipendayo,
2. Ina lugha mbili Ki swahili na Kingereza (English), ila kama haujafanya mabadiliko ya lagha basi inakuwa ipo kwa Kiswahili.
3. Soma kurasa kuanzia 15 na kuendelea za kitabu chochote BURE
4. Nunua riwaya, hadithi yoyote kwa TigoPesa, M-PESA, AIRTEL MONEY, Halo Pesa, au Z Pesa
5. Vitabu au Mifano inaweza iliyopakuliwa inaweza kusomwa hata kama huna bando la mtandao (internet)
6. Unaweza kutafuta kitu chochoe kwa urahisi ndani ya app, kuanzia jina la mwandishi, aina ya kitabu, na jina la kitabu chenyewe.
7. Unaweza kuweka salio la kutosha katika Dau Wallet yako ndani ya app na kukuwezesha kuitumia kununua kitabu chochote unapotaka
8. Kama hiyo haitoshi kila kitabu (vitabu) kina maelezo ya muhtasari kumwezesha msomaji kupata undani wa kitabu husika hata kabla ya kununua.

How to Download / Install

Download and install Uwaridi version 1.0.0.63 on your Android device!
Downloaded 1,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.dautech.uwaridi, download Uwaridi.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.1+
Bug
buster
For everyone
Android app

App History & Updates

What's Changed
Uwaridi, You gonna love it, we have implemented vertical scrolling.
Now we allow auto code number verification, so please allow the app to read the incoming code SMS. The permission is only used to verify the received SMS code.
Optimized for better performance.
Fixed permission issue for android OS >= 6
Uwaridi, utaipenda, tumeweka uwezo wa ku-scroll juu na chini
Sasa code namba itakuwa automatic, kama umewekana namba ya simu ambayo ipo app ipo.
Tumeboresha zaidi. Furahia.!
Version update Uwaridi was updated to version 1.0.0.63
More downloads  Uwaridi reached 1 000 - 5 000 downloads

What are users saying about Uwaridi

R70%
by R####:

App yenu iko vizur ila kuna muandishi nmetafuta kitabu chake cjakiona kama hajajiunga na umoja wenu ni vyema mkamshawishi maana sye wa mikoan huku tunapata tabu kupata vitabu vyake. Jina lake ni JAPHET NYANG'ORO SUDI

Z70%
by Z####:

Mandishi ni madogo sana tunaumia katika usomaji tu naomba muweke version ya mobile view

L70%
by L####:

App ni nzul lakn mbn hadith aifunguk yte mpaka mwisho

R70%
by R####:

Good app

L70%
by L####:

It is good

R70%
by R####:

The app is good.

K70%
by K####:

Ipo vizuri nimedownload lakin kila nikfungua naambia ni update lakin nikitaka kuapdate naambiwa "item not found" sifaham kwann

I70%
by I####:

Iko poa ingawa napata kusoma kutokana na udogo wa maandishi...

R70%
by R####:

Its A Goods Apps..

R70%
by R####:

Kazi nzuri

R70%
by R####:

Good. Leteni kazi zenu ziwekwe kwenye mfumo wa sauti kwa ajili ya wasiojua kusoma. Download App iitwayo "SIMULIZI ZA RUHUNDWA" usikilize simulizi

D70%
by D####:

Ningeweka nyota tano lakini kuna tatizo dogo, siwezi kununua riwaya. Kila nikitaka kufanya hivyo app inajifunga

Q70%
by Q####:

Nice one

D70%
by D####:

Ningeweka nyota tano lakini kuna tatizo dogo, siwezi kununua riwaya. Kila nikitaka kufanya hivyo app inajifunga

R70%
by R####:

Inagoma kudownload yaan inanisumbua

R70%
by R####:

Very nice application easy to use

R70%
by R####:

This reader is for serious book reader

R70%
by R####:

Bomba kabisaa

R70%
by R####:

The app is friendly... simple to use. Downloading contents with descriptions made simple. The app is wonderfully made that require no complex knowledge to use. Well done UWARIDI! Well done Dau technology... am delighted and hooked with your professionalism.

R70%
by R####:

Very fluid and easy to peruse.The stories in it, well what can I say? Top Notch!

Q70%
by Q####:

App bora kabisa

R70%
by R####:

Safi sana.

T70%
by T####:

Hongereni kwa hatua hii... MUNGU awaongoze

R70%
by R####:

Elimu ilipofichwa, we found it, good app you guys.

R70%
by R####:

Safi sana hii..


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.55
55 users

5

4

3

2

1