Swahili Bible ( Biblia ) for Android
Awesome App
Inspirational
Happy
Well
The font used in this Swahili Bible is ideal for people of my age as I can read it without glasses. Congratulations for those who took part in the whole exercise.
Hii ni njia nzuri na nyepesi ya kupata neno la Mungu wakati wowote na popote. Mungu awabariki waliohusika na kazi hii
Asanteni sana kwa uvumbuzi mwema inanisaidia sana Ina onesha iwapo neno nimekwisha lisoma hivyo kwa mtindo huu itanisaidia kuisoma biblia yote vizuri.mbarikiwe watumishi wa Mungu, Mungu awatumie zaidi kuvumbua vitu vyema ili mwisho wa siku ibilisi aaibike.
Hakika kila goti litapigwa
Love it
Bibilia takatifu
Kama mnaweza kutusaidia kurudisha kumbukumbu kama notes zinazopotea simu ikileta shida mtatusaidia sana. Kupitia email adress
I enjoy using this application for daily basis and I will b continuing using it.
I like it much but I advice the team to put option for using email so as when I will change the phone I can restore information/ activities I performed on another phone
Sitafuti application nyingine kwa haja ya kulijua neno la Mungu.. Hii imejitosheleza kwa urefu na mapana.
Isaya 40 : 8 - Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele. Mungu tujalie maarifa kupitia neno lako..
Kichonivutia zaidi ya Biblia zingine, Unaweza ku-search andiko lolote na ukalipata...Mungu awabariki sana.
nice work guys u must download it
It helps to build spiritual life
It simple any time, every where I use it
Perfect, I wish it was audio too.
It blings me close to Jesus every moment
Every easy to read
With more analysis
Kila neno la Mungu lafaa kwa mafundisho usiongeze wala usipunguze kitu.......
Bibilia hii imenipendeza sana,Mola abariki neno lake
Mungu awabariki kwa kazi nzuri, ni nzuri sana!!
I love it!
Best app
Safi sana nimeipenda sana MUNGU awabaliki.
Great
Hmmmmm;
I'll it
Kichonivutia zaidi ya Biblia zingine, Unaweza ku-search andiko lolote na ukalipata...Mungu awabariki sana.
Very useful and meets demand.
Scholastica Tz
Great Swahili bible
An amazing app,thanks!
SIKU YA KIYAMA HUTAWEZA KUJITETEA YA KWAMBA SIKUPATA MDA WA KUSOMA NENO LAKO BWANA!!
Shukrani nina neno la Mungu kila mahali niendapo.Barikiwa kwa kazi njema
by Y####:
It will become more better if you combine it with commentary