Wacha Biblia Iseme

Wacha Biblia Iseme Free App

Rated 4.45/5 (11) —  Free Android application by Mahmoud Al-Asmi

Advertisements

About Wacha Biblia Iseme

Kuzozana sio makusudio ya kuandika Risala hii. Makusudio ya hakika ni kutaka kuwapa mwangaza Wakristo na Waislamu ambao katika sehemu nyingi za ulimwengu inawapasa waishi kama ni wananchi wamoja na jirani. Inatumainiwa pindi wakinawirika, na kila mmoja akaifahamu vyema misingi ya imani ya mwenziwe, wote watakuja thamini ule msingi mmoja unaowaunga wote kwenye Imani ya asli, nayo ndiyo Dini ya Ulimwengu mzima inayofunza kila mwanaadamu ajisalimu kwa ukamilifu wake kwenye mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mmoja wa kweli, kwani hapo ndipo unapotegemea mwendo mwema wa binaadamu. Confrontation is not the purpose of writing this monologue. Intents certainly is the desire to give brightness Christians and Muslims, who in many parts of the world have to live if they are one and the neighboring countries. Hopefully, if they nawirika, and everyone knows about the basic beliefs of another, all will appreciate the foundation of you owaunga all on the faith of the extract, it is religion a universal magnet every man ajisalimu in its entirety the will of Allah, the One, of course, for then expected by the members of the human good motion.

How to Download / Install

Download and install Wacha Biblia Iseme version 0.0.1 on your Android device!
Downloaded 1,000+ times, content rating: Everyone
Android package: com.asmi.Bibliaiseme, download Wacha Biblia Iseme.apk

All Application Badges

Free
downl.
Android
4.0+
For everyone
Android app

App History & Updates

More downloads  Wacha Biblia Iseme reached 1 000 - 5 000 downloads

What are users saying about Wacha Biblia Iseme

H70%
by H####:

Mashaallaah, uchambuz nzuri

W70%
by W####:

Labda ungejadili imani yenu inayowambia munguwenu atawazawadia wanawake bikra huko peponi muwabikri

B70%
by B####:

Baada ya kukisoma hichi kitabu. Wallahi nimekubali pasipo kuwa na shaka kwamba , hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Allah subhannahu Karim. Na Muhammad salalahu waaleihim salama ni mtume wake kwangu Mimi. Nimeiacha njia ya washirikina na namshukuru mwenyezi mungu kw a kunirehemu Mimi na nawaombea jamaa zangu wasome na mwenyezi mungu awatie nuru ndani ya nyoyo zao. Waache ibada za kumshirikisha Allah na Allah ndiye mkarimu kuliko wote wanaombwa atawasamehe madhambi yao. Nashukuru nimefunga Ramadan..

Y70%
by Y####:

Umelingalisha ELIMU sahihi kabisa


Share The Word!


Rating Distribution

RATING
4.55
11 users

5

4

3

2

1