About Soma ABC
Soma ABC App itamuwezesha mtoto kujifunza kwa wepesi zaidi na kujua Alphabet kwa haraka. Mtoto atafundishwa kwa sauti na kwa vitendo kufuatisha jinsi ya kuandika herufi na kutamka.
Faida za App hii Kwa mtoto
★ Kujifunza Kusoma
★ Kujifunza kuandika
★ kuongeza uwezo wa akili ya mtoto
★ Kutumia Application hii ni bure
Uwezo na Yaliyomo
❖ Mafunzo kwa sauti
❖ Mafunzo kwa Michoro
❖ Maelezo kwa Picha
❖ Elimu Bora
Umuhuhimu wa game hii Kwa Afya ya Akili
Ni rahisi zaidi watoto kujifunza kupitia michezo, tumia game hii kunoa na kuongeza Afya ya akili ya mwanao. Application hii ya ki Tanzania imetengenezwa ili kumsaidia Mtoto kuweza kujifunza kwa wepesi
Ta-gs
► Familia Bora
► Mzazi na Mtoto
► Lishe Bora
► Muungwana
► Ualimu
► Tanzania App
► Swahili Habari
► Malezi bora
► Jamiiforum-s
► Akili na Mtoto
Angalizo
► Application hii ina matangazo
► Ni Mchezo wa ki masomo - kujifunza kusoma na kuandika
► Mzazi - Muongozo wako unaweza kuhitajika wakati wa kutumia