Jifunze Kusoma Kiarabu for Android
Maxhalaah, tujifunze Quran
Quluh soma
Naifurahia hii App tena kama hapo awali. Lakini... Sheikh al-Barwani yungali hai?
Hi "add" yaziba hirabu na herufu chini na ukijaribu kutoa haitoki
Sasa imekuwa bora zaidi, maashaAllah!
Alama za katika msahafu mumeeleza mbili tu laam na swiil mbona nyengine yazipo? Tunaomba muzielezee Ila kazi nzur masaAllah
nzuri mno yaani imenisaidia sana..Allah amjaze kheri nyingi sana shekh Baruan amin.
Nzuri sana wekeni na audio ilituweze kuzitamka vizur
MASHALLAH MUNGU AWABARIKI
May Allah grant you the Best rewards....
mashaLlahhh
Just great mashaallah
Good
Yes yes I love you
its very good application
Mashaa'Allah i love it indeed
Am enjoying
Very good
Nzur sana
Absolutely nice, baaraka llaahu fiikum
introduction to arabic 100% ss
Ni program ya kipekee ya kiarabu, ni nzuri sana kwa kujifunza
Kwa sisi waislamu smbao hatukupata fursa ya kusoma madrasa tunafaidika sana na kazi zako.Allah akulipe malipo mema.
Seem nice
Nice
Inapendeza
Masha Allah
Nimeipenda sana
Thx
Nimeipenda kuliko niwezavyo kueleza. Najifunza kiarabu pa sina shaka
Ni hatua bora kuijua quran
inatusaidia sana ambaye hatujui lugha hii cio mpaka ufate mwalimu
Inatusaidia kukijua kiarabu Bila hata ya kumuona Mwalimu.
Naomba quraan iliyotafsiriwa kama hivi
Jazakum llahu khaira
Nzuri nzuri mnooo.
Alhamdulillah Nzuri
Nice
Poa kabisa
by L####:
Alhamdulillah Nzuri