Biblia Takatifu for Android
Ushauri;vichwa vya habari vidogo vikolezwe rangi ili kutofautisha na mistari ya maandiko, mfano 2sam11:13 mstari ule unaosema Daudi apanga Uria auliwe sio andiko bali ni kichwa cha habari inayofuata. Hata 2sam 12 :25 ile sentence inayosema waamoni waangamizwa sio neno la biblia bali kichwa cha habari ndogo inayofuata. Kwa hiyo kama sio msomaji wa Bible huwezi kujua kama ile sentence ni kichwa cha habari kidogo
Nilitafuta sana nikazikuta nyingi nzuri, ila hii, roho yangu ikatulia kweli. Nyota sabini zatosha.
Mtumiaji anaweza kupata neno kwa urahisi bila shaka
Very good app
Nimeipenda
It good at all
Ni nzuri inaonesha kukua kwa mawazo ya uendelezaji safi sana Mbarikiwe sana hii ni borasana
Ni nzuri
by Z####:
I installed and Unistalled different bibles , but this is the best I ever had. I wish to have it as long as possible. Hongereni sana kwa kazi nzuri hii. Mungu atawalipa. Jambo moja tu ningependa kushauri ni suala la vichwa vya habari vilivyo katikati ya ukurasa, vinahitaji kutengwa by space and bold, ili kuonekana vizuri kama ilivyo kwenye titles za mwanzoni mwa page! Sifikirii kubadili app tena. I real enjoy the display, nice arrangement of books, best search, et